Ume tisha mkuu[emoji91][emoji91] na halotel app yao walkua wana toa Mb sija jua kama ni hadi leoUki download app ya my airtel unakutana na Gb za kukufanya urudi mtandaoni kwa wiki kadhaaView attachment 2632974
Zikiisha unarudi na VPN ya HA TUNNEL PLUS kwa simcard ya airtel hio hioUme tisha mkuu[emoji91][emoji91] na halotel app yao walkua wana toa Mb sija jua kama ni hadi leo
Acha kuweka mambo hadharani itafungiwa braza.Zikiisha unarudi na VPN ya HA TUNNEL PLUS kwa simcard ya airtel hio hio
hapa huhitaji kuweka HAT FILE YOYOTE.. IGILIZIA SETTING KAMA UNAVYOONA.
Daily limit ni 300 mb per day
View attachment 2633133
Watu washamba sana aisee....kuna mtu asiyeijua hiyo?Acha kuweka mambo hadharani itafungiwa braza.
Acha kuweka mambo hadharani
Bahati mbaya huwa sipendi kula peke yangu..Acha kuweka mambo hadharani itafungiwa braza.
Ishi sana Mkuu hauna Choyo π€π€π€Bahati mbaya huwa sipendi kula peke yangu..
mimi ndio nilileta vpn za zamani zile kama SKY VPN wadau wakawa wanapata hadi Gb 5 kwa siku
tuenjoy wote... tufungiwe wote
Bahati mbaya huwa sipendi kula peke yangu..
mimi ndio nilileta vpn za zamani zile kama SKY VPN wadau wakawa wanapata hadi Gb 5 kwa siku
tuenjoy wote... tufungiwe wote
Watumiaji wanasema vpn zinasababisha chaji kwny simu inaisha haraka n kweli?Bahati mbaya huwa sipendi kula peke yangu..
mimi ndio nilileta vpn za zamani zile kama SKY VPN wadau wakawa wanapata hadi Gb 5 kwa siku
tuenjoy wote... tufungiwe wote
ndioWatumiaji wanasema vpn zinasababisha chaji kwny simu inaisha haraka n kweli?
Nifafanulie hii naipatajeHALOTEL CUG MWEZI MZIMA
Wateja kuanzia watano
16,000
GB 6
DAKIKA 550
SMS 600
26,000
GB 15
DAKIKA 1100
SMS 1000
36,000
GB 23
DAKIKA 1400
SMS 1000
46,000
GB 31
DAKIKA 2000
SMS 1000
56,000
GB 40
DAKIKA 3000
SMS 1000
Respect kwakoUki download app ya my airtel unakutana na Gb za kukufanya urudi mtandaoni kwa wiki kadhaaView attachment 2632974
Naunga hoja mzeee siku hz bando zimekua na bei kinomaBahati mbaya huwa sipendi kula peke yangu..
mimi ndio nilileta vpn za zamani zile kama SKY VPN wadau wakawa wanapata hadi Gb 5 kwa siku
tuenjoy wote... tufungiwe wote
Hii settings kwangu ina gomaZikiisha unarudi na VPN ya HA TUNNEL PLUS kwa simcard ya airtel hio hio
hapa huhitaji kuweka HAT FILE YOYOTE.. IGILIZIA SETTING KAMA UNAVYOONA.
Daily limit ni 300 mb per day
View attachment 2633133
Weka screenshot nione unapokwamaHii settings kwangu ina goma
Nki start ina goma..au kuna settings zingneWeka screenshot nione unapokwama
Kama ni mara ya kwanza lazima ianze kwa kusumbua. Na wakati mwingine server huwa inakuwa busy sana, ikigoma badilisha serverNki start ina goma..au kuna settings zingneView attachment 2637044
Sawa mkuuKama ni mara ya kwanza lazima ianze kwa kusumbua. Na wakati mwingine server huwa inakuwa busy sana, ikigoma badilisha server
cheza na hizi server 4 za mwanzo
frankfurt..
vienna
amsterdam
na paris
View attachment 2637058
Ebwana hii inakuaje? Nimedowload ila sijaona sehemu ya kujiregista na wala sijapata Mb