Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Mkuu mbna hii huduma hata ofisin inafanyika vzuri tuTIGO TIGO TIGO
Natoa OFA na HUDUMA Zifuatazo
1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.
Piga/Whatsapp: 0710535327
2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!
Piga/Whatsapp: 0710535327
View attachment 2577064
hiyo ya 1000 ndo siijuiMkuu mbna hii huduma hata ofisin inafanyika vzuri tu
Hakika mkuuMkuu mbna hii huduma hata ofisin inafanyika vzuri tu
Achia hapa hapa ili kila mtu aone mkuuWa Airtel njoo inbox
Uki download app ya my airtel unakutana na Gb za kukufanya urudi mtandaoni kwa wiki kadhaaView attachment 2632974
Rich keshaweka hapo juu.Wa Airtel inbox me Gb 2
punguza njaaWa Airtel njoo inbox
daa mi wamenipa mb200Rich keshaweka hapo juu.
punguza njaa
daa mi wamenipa mb200
Mnifundishe jinsi ya kuzuia DATA zisitumike😜😜geosir nashukuru sana kwa kunisanua na bando la airtel SME
Najitungua tu na.mwekundu mmoja kila.mwezi
View attachment 2639990
ni watu wa airtel tu jaman au ?Mnifundishe jinsi ya kuzuia DATA zisitumike😜😜
nataka nitumie vpn peke yake
geosir toa maelezo hapa maana mm ni mteja wako tuni watu wa airtel tu jaman au ?
Bila bando haiconnect na pia ikiconnect bando linalika kama kawa.Kama ni mara ya kwanza lazima ianze kwa kusumbua. Na wakati mwingine server huwa inakuwa busy sana, ikigoma badilisha server
cheza na hizi server 4 za mwanzo
frankfurt..
vienna
amsterdam
na paris
View attachment 2637058
Iko hivi..Bila bando haiconnect na pia ikiconnect bando linalika kama kawa.
Naombeni mnieleweshe hapo
Mwalimu akifundisha nilisinzia[emoji23][emoji23]
Nipo nimetulia nipate madini, sasa huo upande wa kuingia mtandaoni bila bando, nimefata taratibu zote unazoonyesha ila bado inalamba data zangu, ikiwa laini haina bando haiconnect nadhani umenielewa sasa.Iko hivi..
VPN ni mtandao binafsi, ambao unaweza kukupa nafasi ya kuona website zilizofungiwa kama Pornhub hivyo data kwensa sio ishu, ishu ni kwamba uliiwasha vpn for what purpose wakati una DATA[emoji1][emoji1][emoji1]
Pili baadhi ya VPN kama hii Ha tunnel, sky vpn, wire tunnel n.k zinakupa access ya kuingia mitandaoni bila kuwa na Bando lolote... hapa Tuliza akili ufundishwe.. ukileta ukorofi unaachwa kama ulivyo.. sio lazima wala
Nilikuwa na hii huduma, cha ajabu nimetumia mwezi mmoja tuu ikaondoka. Nmeumia sana kwa kweli. Nmewapigia mpaka eatel wameniambia nifike dukani kwao. Leo nitakwendageosir nashukuru sana kwa kunisanua na bando la airtel SME
Najitungua tu na.mwekundu mmoja kila.mwezi
View attachment 2639990
uliungwa na nani??Nilikuwa na hii huduma, cha ajabu nimetumia mwezi mmoja tuu ikaondoka. Nmeumia sana kwa kweli. Nmewapigia mpaka eatel wameniambia nifike dukani kwao. Leo nitakwenda