Kuna ujumbe wako PM naomba uusomeHUDUMA ZITOLEWAZO NI;
[emoji842]LIPA KWA MPESA[emoji736] 10,000
[emoji842]LIPA KWA AIRTEL MONEY [emoji736] 3000
[emoji842]AIRTEL MONEY WAKALA[emoji736] 15,000
[emoji842]TIN NO APPLICATION[emoji736] 5000
WASILIANA NASI WHATSAPP 0764982136/0782590003View attachment 2684997
Hahitaji kusubiri hadi tarehe moja ila ndani ya siku tatu anakua amepata huduma, some times hadi ndani ya siku hiyo hiyo 0717700921 kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigiaAfter kukamilisha hizo hatua huwa unatumia siku ngapi kumuunganisha mtu na kuanza kupata huduma? Au hadi mtu asubiri hiyo tarehe moja.
Ok shukran sana.Hahitaji kusubiri hadi tarehe moja ila ndani ya siku tatu anakua amepata huduma, some times hadi ndani ya siku hiyo hiyo 0717700921 kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia
Sio utapeli cause sometimes kwa emergency zinaweza kupita hata wiki mbili, ila ni pale ambapo kutakua na emergency.Ok shukran sana.
Na ikipita hizo siku 3 huduma haijapatikana huenda ikawa dalili ya utapeli, sio?
Hakuna Gharama za usajili wakuuGharama za usajili ni bei gani?
[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]Nani anamkumbuka jamaa mmoja humu alikuwa anaitwa @Mr kiuno, huyu jamaa pia alikuwa mwaminifu SEMA mabadiliko ya vifurushi yalivyokija tu jamaa hatukuweza kumuona Tena,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hizi ni dalili za utapeli, 2 weeks hakuna mb? Ila tupo tayari kufuta kauli ikiwa mb zitaanza kuflow.Hamna huduma hapa ukiitiwa fulsa ujue umeliwa, labda kapita nayo maana simwelewi week 2 hamna cha MB wala nn,
Nipo kujibu kila hoja wakuu, ANY time niulizeni kabla hamjaja na conclusion kua mm ni tapeli, pia niwaombe muwe waaminifu siku mkipata huduma mfute hizo txt mbaya juu yangu !!Hamna huduma hapa ukiitiwa fulsa ujue umeliwa, labda kapita nayo maana simwelewi week 2 hamna cha MB wala nn,
Huduma ikipatikana watu watakuwa mashahidi humu wewe wala usijali.Nipo kujibu kila hoja wakuu, ANY time niulizeni kabla hamjaja na conclusion kua mm ni tapeli, pia niwaombe muwe waaminifu siku mkipata huduma mfute hizo txt mbaya juu yangu !!
Umeongea vizur sana mkuuNipo kujibu kila hoja wakuu, ANY time niulizeni kabla hamjaja na conclusion kua mm ni tapeli, pia niwaombe muwe waaminifu siku mkipata huduma mfute hizo txt mbaya juu yangu !!
Hata kama huna leseni mm nakuunga bure kabisaaKwa sababu hapo nyuma nilisikia kama huna lesen ya biashara inasumbuwa
Huyo jamaa anayekisubili, amekipata tayari?Hata kama huna leseni mm nakuunga bure kabisaa
Mwamba tunakuomba msamaha huduma ipo imefika ingawa nilimpa na mwingine aniunganishe, alisema alituma pia koo kama ni wewe umefanikisha kwangu shukurani, ila kama ni yule mwingine nilie mpa wote shukurani pia,Nipo kujibu kila hoja wakuu, ANY time niulizeni kabla hamjaja na conclusion kua mm ni tapeli, pia niwaombe muwe waaminifu siku mkipata huduma mfute hizo txt mbaya juu yangu !!
Mwamba tunakuomba msamaha huduma ipo imefika ingawa nilimpa na mwingine aniunganishe, alisema alituma pia koo kama ni wewe umefanikisha kwangu shukurani, ila kama ni yule mwingine nilie mpa wote shukurani pia,
Koo wadau huduma hii ipo na huwa inachukua mda sana kuunganishwa hata week mbili na za
Sawa naomba uniletee watu wengine wanaohitaji huduma hii cause wewe umeshaona uhakika wakeMwamba tunakuomba msamaha huduma ipo imefika ingawa nilimpa na mwingine aniunganishe, alisema alituma pia koo kama ni wewe umefanikisha kwangu shukurani, ila kama ni yule mwingine nilie mpa wote shukurani pia,
Koo wadau huduma hii ipo na huwa inachukua mda sana kuunganishwa hata week mbili na zaidi
Usemayo ni kweli, huduma ipo. Watu wanatiririka nayo tu kwa sasa.Mwamba tunakuomba msamaha huduma ipo imefika ingawa nilimpa na mwingine aniunganishe, alisema alituma pia koo kama ni wewe umefanikisha kwangu shukurani, ila kama ni yule mwingine nilie mpa wote shukurani pia,
Koo wadau huduma hii ipo na huwa inachukua mda sana kuunganishwa hata week mbili na zaidi