Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiyo ya microwave ipoje? Gharama yake na inafika hadi maeneo gani?
 
IJUE "SME" KUTOKA AIRTEL
Hii ni menu (*149*91#) inayokupa we nafasi kujiunga mwenyewe vifurushi vya bei rahisi zaidi kuliko mtandao wowote hapa Tanzania. Malipo ya huduma ni TSH 10,000.
 
Natumia supa kasi kifurushi cha elfu 50,sim card nimeiweka kwenye router tunashare watu watatu,iko slow kimtindo
 
Download play store my Halotel app unapata GB 1 mpk 2 bure.
 
Kwa bei gani mkuu??
 
So ukiwa na router yako ukiwaita wanaweza kukufungia??
 
So ukiwa na router yako ukiwaita wanaweza kukufungia??
Kwenye copper ndio mpaka leo sijaletewa Router (Mwaka wa pili) nilinunua tu router yangu ya magumashi uhuru pale kama 5000 tu.

Hata Fiber waliniletea nusu wanafunga waya, unasikilizia mpaka basi ukifollow up wanasema hawana router, sometime hawana waya etc. Ukijiongeza una speed up zoezi.
 
Shukrani mkuu
 
Kwenye menu ya Airtel ile *149*91# kuna Unlimited Internet. Hiyo ndo inapatikanaje wakuu?
 
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 Nimepata watu 7 tu Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER ili iweze kupush umbali mwengine nae akasema ni nunue BUSTA ili nifikishe mbali zaidi japo kasema ipo ya mita 100,200,300 na kilometa 1…Mimi mgeni wa ivi vitu naogopa kupigwa…

Mwenye uelewa naomba anieleweshe…
 
Nasubiri jibuu
 
Nilimuuliza aliyeniunga ila hakunipa ushirikiano hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]

Inaonekana hiyo menu ni special mno, ukiigusa unaungua..

Inaonekana kuna usiri sana kwenye hizo package. Na unlimited ndo mpango mzima aisee [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…