Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

5g ina capacity kubwa ila coverage ndogo. Kuna low, mid na High frequency, hio 3500mhz ni mid inaenda high frequency coverage yake ndogo sana, hivyo usitegemee 5G kusambaa sana kwa sasa.

Kwenye mitandao ya simu alienunua band 700 ni Vodacom peke yake, maybe baadae huko wanaweza sambaza 5G nchi nzima, ila 700mhz speed yake sio kubwa kivile

Sema miaka fulani nyuma Azam pia walinunua hio band sijui kama wataingia nao kwenye hili soko.
 
Basi we have long journey to go..

Hivi mkuu ni kwa nini haya makampuni hayataki kutoa huduma ya unlimited data katika mfumo wa 4G, kuna logical reason technically?
 
Shukrani sana mkuu..

Nasikia wana wa ttcl vpn nao wanakaribia kurudi hewani..

Kwa huu ukiritimba ndiyo maana watu wanapenda kupitia njia za panya.[emoji736]
Wanakaribia????

Hapo nimeguna.

Sidhani kama hilo linaweza kutokea labda tu watu wagundue njia nyingine ya ku bypass server lakini sio kurejesha vpn ambayo waliifunga baada ya kuona watu hawanunui bando kuifaidisha kampuni.
 
Basi we have long journey to go..

Hivi mkuu ni kwa nini haya makampuni hayataki kutoa huduma ya unlimited data katika mfumo wa 4G, kuna logical reason technically?
Ndo hio capacity mkuu,
Umeona speed ya tigo hii sasa hivi, hata 1mbps haifiki, sababu kuna watu wengi nilipo, hapa hapa usiku inafika hadi 30mbps.

Ila 5G yenyewe ina capacity, inashinda hadi wifi na 4G, ina uwezo wa kuhudumia hadi uwanja mzima uliojaa kama wa Taifa.

Wakiweka 4G unlimited ina maana watu wachache wanaweza kumaliza Bandwidth yote.

According to wadau humu hata supakasi ya 4G ni Microwave hawatumii hii minara ya kawaida, Microwave inafikisha hadi 6gbps hivyo inakuwa rahisi kwa mnara mmoja kuhudumia hata watu 500 wa unlimited.
 
Changamoto bado ni kubwa sana mie nilipo hapa na ttcl fibe ilipo sio mbari kama miter 500 tu ila mwezi wa tatu Sasa Kila siku wanadai vifaa vimewaishia asee mtihani sana
 
Hapo nimekuelewa[emoji736][emoji736]

Basi 5G was not meant for us 3rd world countries[emoji3][emoji3]
 
Changamoto bado ni kubwa sana mie nilipo hapa na ttcl fibe ilipo sio mbari kama miter 500 tu ila mwezi wa tatu Sasa Kila siku wanadai vifaa vimewaishia asee mtihani sana
Mimi nina Copper nime request fiber wameniletea waya hadi home upo hapa nauangalia, ila hawajaleta router tu, tunahangaishana mwezi hapa.

Wa encourage tu vijana wauze kwa Bulk then kuleta majumbani ziwe kampuni binafsi.
 
Hapo nimekuelewa[emoji736][emoji736]

Basi 5G was not meant for us 3rd world countries[emoji3][emoji3]
5g mkuu sio mobile first, inakamilisha vitu specific, sema itasambaa hizo band ndogo wakianza kuzitumia, kuna 2600 pia ya Halotel, na Airtel zikianza kutumika itasaidia.
 
Changamoto bado ni kubwa sana mie nilipo hapa na ttcl fibe ilipo sio mbari kama miter 500 tu ila mwezi wa tatu Sasa Kila siku wanadai vifaa vimewaishia asee mtihani sana
Jaribu kuwa approach kwa hela ya ziada maana najua kwasababu kampuni ilitangaza huduma hiyo ni bure so inakuwa ni kama kazi ya wito tu kwa hao wanaofanya installation.

Mtafute mmoja mshikishe hata 50K anaweza kukusaidia.
 
Na pia inakuwa ni mali yako, sas why nawekewa masharti kweny mali yangu?
 
Jaribu kuwa approach kwa hela ya ziada maana najua kwasababu kampuni ilitangaza huduma hiyo ni bure so inakuwa ni kama kazi ya wito tu kwa hao wanaofanya installation.

Mtafute mmoja mshikishe hata 50K anaweza kukusaidia.
Ulipe kwa awamu ukiwapa yote inakwenda na maji, hawa jamaa ni pasua kichwa.
 
5g mkuu sio mobile first, inakamilisha vitu specific, sema itasambaa hizo band ndogo wakianza kuzitumia, kuna 2600 pia ya Halotel, na Airtel zikianza kutumika itasaidia.
Kulingana na mambo yalivyoenda hovyo kwa wale watoa huduma za Airtel nikaamua kumtafuta manager wa Halotel wa eneo langu.

Jamaa ananuambia nao wana huduma ya Fiber ila installation ndio gharama.

Ku supply waya za fiber kwa umbali wa 1KM ni $500

Halafu zilipoishia nyaya za fiber hadi nilipo mimi kuna zaidi ya 8KM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…