Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #6,901
5g ina capacity kubwa ila coverage ndogo. Kuna low, mid na High frequency, hio 3500mhz ni mid inaenda high frequency coverage yake ndogo sana, hivyo usitegemee 5G kusambaa sana kwa sasa.Afadhali umemchana ukweli kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
Huko wnakoenda wamepotea njia kabisaaa, kuko occupied kitaaamboo.
Nachoshangaa inakuwaje haya makampuni yanashindwa kuweka vifaa vya 5G kwa Dar nzima, kimkoa kidogo tuu hiki, na wana minara everywhere. Je mpaka waje wafike nchi nzima ni lini? Halafu kwa nini wote wameng'ang'ana maeneo yaleyale, hayo maeneo yana nini, au wanahisi huku kwingine watu hawatumii internet?
Wameniudhi sana hawa Airtel.
Kwenye mitandao ya simu alienunua band 700 ni Vodacom peke yake, maybe baadae huko wanaweza sambaza 5G nchi nzima, ila 700mhz speed yake sio kubwa kivile
TCRA announces spectrum auction results
Industry watchdog the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has completed its auction of additional frequencies in the 700MHz, 2300MHz, 2600MHz and 3500MHz bands.
www.commsupdate.com
Sema miaka fulani nyuma Azam pia walinunua hio band sijui kama wataingia nao kwenye hili soko.