Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #6,921
Soon Halotel na wao watakuja na 5G maana wameshanunua Frequency. Gharama za mwezi zipoje?Kulingana na mambo yalivyoenda hovyo kwa wale watoa huduma za Airtel nikaamua kumtafuta manager wa Halotel wa eneo langu.
Jamaa ananuambia nao wana huduma ya Fiber ila installation ndio gharama.
Ku supply waya za fiber kwa umbali wa 1KM ni $500
Halafu zilipoishia nyaya za fiber hadi nilipo mimi kuna zaidi ya 8KM
Yani hiyo 50K iwe kumshawishi tu alete vifaaUlipe kwa awamu ukiwapa yote inakwenda na maji, hawa jamaa ni pasua kichwa.
Kuna jamaa wa Zuku aliniambia ukiniletea wateja watano nakupa laki, ina maana yeye anapata mara 2 ama zaidi, wanao TTCL watu wa marketing siku hizi sema bado kuna Disjoint kubwa baina ya marketing na wale wa operation. So ili ufanyiwe mambo yako inabidi wote watatu wa marketing, operation na wanaokuja kumalizia Router mwishoni uwapate. Ila vigogo kama unavyosema ni fasta tu, hata dukani vitanunuliwa.Yani hiyo 50K iwe kumshawishi tu alete vifaa
Kwasababu najua kivyovyote hawezi kosa mbinu ya kupata vifaa hivyo.
Na sometimes hao hao ndio wanaoiba vifaa vya kampuni na kwenda kuviuza kwasababu hawapati kitu wanapoenda kumfungia mteja.
Imagine kigogo wa serikali ametaka huduma unafikiri ataambiwa kuwa waya zimeisha?
VPN inauzwa 30KImerudi bt bei waneongeza mpka 30k
Yap hilo linawezekana likawa lipo kwenye Zuku kwasababu ni private company juhudi zako kutafuta wateja ndio mshahara wakoKuna jamaa wa Zuku aliniambia ukiniletea wateja watano nakupa laki, ina maana yeye anapata mara 2 ama zaidi, wanao TTCL watu wa marketing siku hizi sema bado kuna Disjoint kubwa baina ya marketing na wale wa operation. So ili ufanyiwe mambo yako inabidi wote watatu wa marketing, operation na wanaokuja kumalizia Router mwishoni uwapate. Ila vigogo kama unavyosema ni fasta tu, hata dukani vitanunuliwa.
Sasa mkuu hata nikiwashikisha pesa bado haitasaidia kitu kwa maana hata Hawa watu waliowekea imechukua mwaka mzima mpka kuja kuwekewa na kwakua hio sehem Kuna washua wengi that's why wamefanya IvoJaribu kuwa approach kwa hela ya ziada maana najua kwasababu kampuni ilitangaza huduma hiyo ni bure so inakuwa ni kama kazi ya wito tu kwa hao wanaofanya installation.
Mtafute mmoja mshikishe hata 50K anaweza kukusaidia.
Duuh bado palefu sana mzeeKulingana na mambo yalivyoenda hovyo kwa wale watoa huduma za Airtel nikaamua kumtafuta manager wa Halotel wa eneo langu.
Jamaa ananuambia nao wana huduma ya Fiber ila installation ndio gharama.
Ku supply waya za fiber kwa umbali wa 1KM ni $500
Halafu zilipoishia nyaya za fiber hadi nilipo mimi kuna zaidi ya 8KM
Hayo yalikuwa ni maoni yangu tu maana ndio njia pekee ambayo sikuijaribu katika harakati za kupambania kupata huduma yao.Sasa mkuu hata nikiwashikisha pesa bado haitasaidia kitu kwa maana hata Hawa watu waliowekea imechukua mwaka mzima mpka kuja kuwekewa na kwakua hio sehem Kuna washua wengi that's why wamefanya Ivo
Yap ni msala MzeeDuuh bado palefu sana mzee
Hayo yalikuwa ni maoni yangu tu maana ndio njia pekee ambayo sikuijaribu katika harakati za kupambania kupata huduma yao.
Nimeanza kwenda kwenye ofisi zao mwanzoni mwa 2021 tena kwa request ya copper lakini hakuna nilichokipata.
Hizi ni screenshot za awamu ya pili 2022
Niliamua kuwafuata tweeter
View attachment 2724455View attachment 2724457View attachment 2724458
Ulikua mkari[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hayo yalikuwa ni maoni yangu tu maana ndio njia pekee ambayo sikuijaribu katika harakati za kupambania kupata huduma yao.
Nimeanza kwenda kwenye ofisi zao mwanzoni mwa 2021 tena kwa request ya copper lakini hakuna nilichokipata.
Hizi ni screenshot za awamu ya pili 2022
Niliamua kuwafuata tweeter
View attachment 2724455View attachment 2724457View attachment 2724458
Azam wakiingia kwenye hili game wataingia kibiashara zaidi na watalenga watumiaji wa uswazi ambao ndio tupo wengi,kikubwa aweke package za bei rafiki5g ina capacity kubwa ila coverage ndogo. Kuna low, mid na High frequency, hio 3500mhz ni mid inaenda high frequency coverage yake ndogo sana, hivyo usitegemee 5G kusambaa sana kwa sasa.
Kwenye mitandao ya simu alienunua band 700 ni Vodacom peke yake, maybe baadae huko wanaweza sambaza 5G nchi nzima, ila 700mhz speed yake sio kubwa kivile
TCRA announces spectrum auction results
Industry watchdog the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has completed its auction of additional frequencies in the 700MHz, 2300MHz, 2600MHz and 3500MHz bands.www.commsupdate.com
Sema miaka fulani nyuma Azam pia walinunua hio band sijui kama wataingia nao kwenye hili soko.
Sasa hivi vifurushi vyote hivi havipatikani. Haya makampuni ya simu yanatukamua zaidi ya waarabu wa DPW.Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
Mkuu hivi halotel wana vifurushi vya unlimited?Soon Halotel na wao watakuja na 5G maana wameshanunua Frequency. Gharama za mwezi zipoje?
Lakini haikusaidiaUlikua mkari[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
NdioHuduma ya Copper ndo ile ya nguzo zao?
Kwa saizi hakuna.Mkuu hivi halotel wana vifurushi vya unlimited?
Hawana kwa sasa, ila trend ya sasa ni kila anaetoa 5G anakuja na unlimited service. Tigo pia kuna wadau humu walisema wanakuja na bando kama supakasi.Mkuu hivi halotel wana vifurushi vya unlimited?
Sasa hivi vifurushi ni Sme na postpaid za Airtel na Tigo, itabidi ni Update uziSasa hivi vifurushi vyote hivi havipatikani. Haya makampuni ya simu yanatukamua zaidi ya waarabu wa DPW.
Fanya hivyo tupate madini mkuu. Hawa jamaa wa makampuni wanatuumiza sana.Sasa hivi vifurushi ni Sme na postpaid za Airtel na Tigo, itabidi ni Update uzi