Duuuh!!Speed sina hakika sana ila unaweza kukadiria tu kupitia gharama
Kirufushi chao kinaanzia 115,000 ambacho sidhani kama kinaweza zidi 10Mbps
Jana nimeweka namba hapa ya mtu mwingineOooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router Ninao
+255 688 070 855Oooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router Ninao
Hii nzuri sanaVodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
Kwa wiki
Ngoja niludi kusomaJana nimeweka namba hapa ya mtu mwingine
Nimeweka na info jinsi gani unaweza kupata hicho kifaa hata kama haupo katika maeneo yenye 5G
Nimekuwekea post ya juu hapoNgoja niludi kusoma
Nimeongea nae Tayali kasema Jumanne atakuja kunipimia kama 5g inashika kwenye eneo langu anaweza kuniwekea Jumanne hio hio au jumatano na gharama zauwekaji kwa maofisin anasema hautalipia router ila unakua unanunua tu kifurushi Cha 110,000 ambayo ni mbps 30 hope kwa 5g kama itashika naweza kuipata hio mbps 30 kama IlivyoNimekuwekea post ya juu hapo
hii huduma naipata vipiWanaita Airtel SME
View attachment 2730186
Hata kama haitoshika atakusajilia katika location yenye 5G kisha atakupa hiyo device ukaitumie popote utapokuwa unataka hata kama hakutakuwa na 5GNimeongea nae Tayali kasema Jumanne atakuja kunipimia kama 5g inashika kwenye eneo langu anaweza kuniwekea Jumanne hio hio au jumatano na gharama zauwekaji kwa maofisin anasema hautalipia router ila unakua unanunua tu kifurushi Cha 110,000 ambayo ni mbps 30 hope kwa 5g kama itashika naweza kuipata hio mbps 30 kama Ilivyo
Jamaa huduma zao zipo fresh sana voda kashakaangwaHata kama haitoshika atakusajilia katika location yenye 5G kisha atakupa hiyo device ukaitumie popote utapokuwa unataka hata kama hakutakuwa na 5G
Na saizi naona soko lipo huku kila kampuni linapigania kupata wateja kwa offa ya bei nafuu kwa speed ya kuridhishaJamaa huduma zao zipo fresh sana voda kashakaangwa
Atakua ametisha sanaa acha aje Nione itavokuaHata kama haitoshika atakusajilia katika location yenye 5G kisha atakupa hiyo device ukaitumie popote utapokuwa unataka hata kama hakutakuwa na 5G
Ebu tupia hilo Tangazo, tuanze kupima wapi panavutia zaidiNa saizi naona soko lipo huku kila kampuni lunapigania kupata wateja kwa offa ya bei nafuu kwa speed ya kuridhisha
Nimeona tangazo la halotel kuhusu 20Mbps unlimited kwa pocket Mi-Fi nao wanauza kwa 115K
Nicheki whatsapp mkuu 0710535327hii huduma naipata vipi
Hahahahaha wanawasanua wakati washafaidi sanaaaWatu mna siri!
Yeah nashangaa watu wanauziwa ghali sanaa mkuu wakati ni huduma ambazo tunatoa kitonga tuuHuyu jamaa hapa na kuna mwingine pia wamesema huduma hii ni buree kiukweli inasaidia sana kuliko hata postpaid kama itadumu mda mrefu.
Hivi vifurushi naona watu kama wanavipotezea fulani lakini mi binafsi nmevipenda sana ni mtandao wa halotel laini unasajili ni kwa ajili ya internet tu haipigi simu wala haitumi sms, haipigiwi wala haipokei sms...
Laini hizi mpya kwa ajili ya internet tu Ukipiga unaambiwa namba hii haipo nasikia namba yake haianzi na ziro hapana ni huduma mpya.. Mimi pia nimepewa haya maelekezo na mtu aliepost humu ukihitaji huduma unapata.
Mimi kwa sasa nipo na postpaid ya tigo nina mwezi wa 4 sasa ila nampango nikifikisha miezi 6 nivunje mkataba na tigo sjui wtanikubalia hivi kuna ambae amefanikiwa kuvunja mkataba huu, alifanyaje naomba anielekeze na mi nivunje aisee wakati najiunga sijujaza mkataba wowote wa tigo maana niliungwa na mdau nilimtumia taarifa zangu kweny WhatsApp nataka nihamie kweny hii halotel aisee mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2725031View attachment 2725049
Internet... cheap sanaHUDUMA YA nn Hii mkuu