Ndio tunawatumia job wako poa sana hata services na maintenance wanafanya chap mtandao ukizingua..Hawa jamaa wa Liquid nao wana bei nzuri, sema Fiber yao inaonekana haifiki sehem nyingiView attachment 2727668
Mbona kwangu MENU ya Uni Offer hakuna vifurushi kama hivi, au imekaaje?Hii nzuri sana
je nikinunua hiyo router kwa matumizi ya nyumbani, nalazimika kulipa kila mwezi?Jana nimeweka namba hapa ya mtu mwingine
Nimeweka na info jinsi gani unaweza kupata hicho kifaa hata kama haupo katika maeneo yenye 5G
Kikawaida hiyo Router haiuzwi 200K. Ni beyondje nikinunua hiyo router kwa matumizi ya nyumbani, nalazimika kulipa kila mwezi?
Mkuu Kuna kitu nimesahau kukuuliza ivi izi router za Airtel zinaenda umbali Gani ?Kikawaida hiyo Router haiuzwi 200K. Ni beyond
ILa utaratibu walioweka ni kuwa utatoa 200K kama connection fee ili uendelee kulipa 70K kwa kila mwezi kwenye vifurushi vyao.
kama lengo lako ni kununua hiyo Router ili uwe unaitumia kwenye maswala yako binafsi nje na hizo package zao.
Basi gharama itakuwa juu kidogo kwa makadirio ni almost 700K
Voda wanauza 850K
Hivi Yale matangazo yanayotokeaga wakati unaendelea kutizama kitu YouTube baw zaje kuyafunga yasiwe yanajitokeza msaada plzHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
Mwanzo niliuliza walisema mita 100Mkuu Kuna kitu nimesahau kukuuliza ivi izi router za Airtel zinaenda umbali Gani ?
Ukilipia premium yanatokaHivi Yale matangazo yanayotokeaga wakati unaendelea kutizama kitu YouTube baw zaje kuyafunga yasiwe yanajitokeza msaada plz
🙄🙄🙄Mimi siyaitaji chief sasa nilipie ili nigundue niniUkilipia premium yanatoka
Sina uhakika na nahofia sana hii Haina Ile antenna ya nnje na ofis yangu Iko sealed sana sizani kama ntapata speed ya uhakika ngoja uyo dada akija kesho ntachukua maelekezo yakutoshaMwanzo niliuliza walisema mita 100
1. Unatumia Vpn/dns za kuzuia matangazo kama simu yako ni ya karibuni nenda setting kisha network tafuta menu inaitwa private dns andika dns.adguard.comHivi Yale matangazo yanayotokeaga wakati unaendelea kutizama kitu YouTube baw zaje kuyafunga yasiwe yanajitokeza msaada plz
Ooooh sawa chief Wacha nifanye hivo1. Unatumia Vpn/dns za kuzuia matangazo kama simu yako ni ya karibuni nenda setting kisha network tafuta menu inaitwa private dns andika dns.adguard.com
2. Kama unataka kublock youtube tu ila kwengine uachie unaweza kuangalia youtube kutumia browser yenye adblocker kama Samsung browser ama firefox. Au ukadownload 3rd party app kama Youtube Vanced.
Kitu ya 2017 unafufua leo?Hii nzuri sana
Hii unapataje ?enlight me plsDownload play store my Halotel app unapata GB 1 mpk 2 bure.
Hii huduma unajiunga nayo vipi mkuu nipe mwanga.Bila shaka unasajili laini ila ni kwa ajili ya internet tu haipigi simu wala haitumi sms wala haipigiwi nasikia ina speed hatari.. Pia namba yake haianzi na ziro.
Mkuu Hawa Airtel nao mbona bado wababaishi Sasa yule dada tulikubaliana Jumanne atakuja kunipimia ajabu Leo hajafika namtext anananiambia 5g Kigamboni hakuna na ukiweka 4g inashika ila hai support internet dah wazee bado changamotoUkilipia premium yanatoka
Basi ni wapumbavuMkuu Hawa Airtel nao mbona bado wababaishi Sasa yule dada tulikubaliana Jumanne atakuja kunipimia ajabu Leo hajafika namtext anananiambia 5g Kigamboni hakuna na ukiweka 4g inashika ila hai support internet dah wazee bado changamoto
Alafu ananishauli niwekee bando la elf 75 napata gb 100 dah! Kwa 4g sa SI bola tu niwekee zile ODU kuliko hio hizi company za internet wanalinga sanaa wazeeBasi ni wapumbavu
Huyo dada jana kanipigia simu ananisisitiza nimsaidie kumtafutia watu hata kama hawapo katika maeneo ya 5G saizi anasema hai support sa si ujinga huo
Achana naye huyo hana maana mpaka hapoAlafu ananishauli niwekee bando la elf 75 napata gb 100 dah! Kwa 4g sa SI bola tu niwekee zile ODU kuliko hio hizi company za internet wanalinga sanaa wazee
Hao ni Voda?Achana naye huyo hana maana mpaka hapo
Ni bora ukachukua Router ya Supakasi ukalipia 115K