Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #7,181
Kwa njia hio ya Ethernet router yoyote yenye wan inakubali, inawezekana kuna router hazikubali ila zitakua chache sana na za kizamani.Mkuu router ya aina YOYOTE tu inakubali?
Unatoa na Lan, unapokea na wanNa inayotoa INATAKIWA iwe na iyo wan?
Shukrani kaka week ijayo nitareta mrejesho ngoja nivute pumzi kidogoumbali kati ya router na router,
Basi la blue ndio Mtandao gani?Wale mnaotumia basi la blue [emoji838][emoji838] la vijana, download ZIVPN nikutumie config file. Sema speed yake ya kindezi sana thou wasap meseji unatuma na kupokea kama kawaida. In short iko slow Ila sio mbaya kwa chatting kama hivi Jf unaingia ila usitegemee kuingia YouTube upate speed ya kuridhisha.
Last paragraph [emoji817]Basi la blue ndio Mtandao gani?
Tigo au?
Au umetumia code ili kuwachanganya wahusika wasijue kama ni wenyewe ili wasije ku block host?
Mkuu kwema?Mbona hizi za airtel hazina uwo mfuko wa wan mkuu
Haina neno mkuu, assume kwako na eneo unalo supply internet umbali ni mdogo kwa extender moja kutosha.@Chief_mkwawa nataka niagize hii unashaurije?View attachment 2742588
Shukrani mkuuHaina neno mkuu, assume kwako na eneo unalo supply internet umbali ni mdogo kwa extender moja kutosha.
Hi chifu zilipendwa walipita nayoHivi kuna mtu bado anatumia yourfreedom humu
Nunua bando mkuu hii iliendaaaHivi kuna mtu bado anatumia yourfreedom humu
Number Sina kaka sikufanikiwa kuisev ila Kuna yule dada aliotoa namba jamaa apo juu anazo kama ni unaitajiMkuu kwema?
Naomba nisaidie namba za alokuletea router mkuu..
Nunua bando mkuu hii iliendaaa
Huyu now harespond mkuu....Number Sina kaka sikufanikiwa kuisev ila Kuna yule dada aliotoa namba jamaa apo juu anazo kama ni unaitaji
Dada yupi mkuu+255 68 807 0855
Hizo apo No za yule dada
Huyu niliweka namba yake kitambo hapaDada yupi mkuu