Shukrani mkuu, ngoja nibonge naye[emoji736]Huyu niliweka namba yake kitambo hapa
+255 688 070 855
Gusa kwa muda bila kuachia, itakuja option ya setting ama turn off notification, kama ni app usioitumia itoe, kama unaitumia weka off notification.Nawezaje kuondoa hizi notifications za fm radio?
Nikiwasha data zinakuja tuView attachment 2743111
Kwani yourfreedom ni bure?Nunua bando mkuu hii iliendaaa
Haifanyi kazi imefungiwa na nape na bi tozoKwani yourfreedom ni bure?
Uko na config zake? Ushawahi kuitumia kwenye desktopHaifanyi kazi imefungiwa na nape na bi tozo
Sina mzeeUko na config zake? Ushawahi kuitumia kwenye desktop
Serikali ya kiQUMER sana hiiZilipendwa hii serikali baada ya kuona vijana tunaenjoy wamevipiga panga shwaaa 😁
Kabisa yaani hovyo sana hawataki vijana tuenjoySerikali ya kiQUMER sana hii
Imefungiwa tangu lini maana mi kuna mshikaji wangu anaitumia na wiki iliyopita nilimuona akitumia?Haifanyi kazi imefungiwa na nape na bi tozo
Imefungiwa tangu lini maana mi kuna mshikaji wangu anaitumia na wiki iliyopita nilimuona akitumia?
Mie kwangu haifanyi kaziImefungiwa tangu lini maana mi kuna mshikaji wangu anaitumia na wiki iliyopita nilimuona akitumia?
Unatumia simu gani?Mie kwangu haifanyi kazi
Mkuu,Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!
Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!
Anaetaka anicheki bure!
Mkuu,napataje hiki kifurushi?Huyu jamaa hapa na kuna mwingine pia wamesema huduma hii ni buree kiukweli inasaidia sana kuliko hata postpaid kama itadumu mda mrefu.
Hivi vifurushi naona watu kama wanavipotezea fulani lakini mi binafsi nmevipenda sana ni mtandao wa halotel laini unasajili ni kwa ajili ya internet tu haipigi simu wala haitumi sms, haipigiwi wala haipokei sms...
Laini hizi mpya kwa ajili ya internet tu Ukipiga unaambiwa namba hii haipo nasikia namba yake haianzi na ziro hapana ni huduma mpya.. Mimi pia nimepewa haya maelekezo na mtu aliepost humu ukihitaji huduma unapata.
Mimi kwa sasa nipo na postpaid ya tigo nina mwezi wa 4 sasa ila nampango nikifikisha miezi 6 nivunje mkataba na tigo sjui wtanikubalia hivi kuna ambae amefanikiwa kuvunja mkataba huu, alifanyaje naomba anielekeze na mi nivunje aisee wakati najiunga sijujaza mkataba wowote wa tigo maana niliungwa na mdau nilimtumia taarifa zangu kweny WhatsApp nataka nihamie kweny hii halotel aisee mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2725031View attachment 2725049
Imefungiwa tangu lini maana mi kuna mshikaji wangu anaitumia na wiki iliyopita nilimuona akitumi
VivoUnatumia simu gani?
Na je ulilipia?
Mi kwenye Pixel haifanyi kazi lakini watunwa Samsung wana ball tu
Inawezekana haikubali kwenye simu yakoVivo
Kabisa yaani maana naona inazingua tuInawezekana haikubali kwenye simu yako
Hawa ni sky?? Niliwaomba wanifungie walinisumbua kinyama mpaka nikajiunga na net solition79K ni package ya mtandao gani?