Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #7,321
Ndo lan yenyewe hio mkuu, hio router ya pili ndio iwe na wan, utachomeka ethernet kwenye Lan yako na Wan ya router ya pili.Ni ajabu mkuu Haina yhn only i see ni Ethernet cable tu ziko nne basi
Kwenye market naziona hizi zinapostiwaUna connect vip izo mkuu maelekezo kidogo!
Mkuu hii superkasi naweza kwenda ofisini kwao nikaipata?Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
View attachment 2741119
Tigo postpaid
View attachment 2741120
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.
Update.
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.
Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.
-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni
Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
So hapo unaamanisha hio cable nitayo tumia itakua na njia mbili yhn Ethernet kwenda wan? Au sijaelewaNdo lan yenyewe hio mkuu, hio router ya pili ndio iwe na wan, utachomeka ethernet kwenye Lan yako na Wan ya router ya pili.
Mkuu unabonyeza ngapi niioate iyo ofa?kwangu siipati mkuu, napata tu 800mb kwa sh 1000
Hallotel unabonyeza ngapi kuipata iyo ofa?4gb kwa 1500 usiku ni ndogo sana ndio maana sikuiweka, airtel na halotel wanatoa 10Gb
Extender unaconect wifi yako ya sasa yenyewe ita extend mawimbi. Kama location ipo 20m toka router yako ilipo extender unaiweka katikati 10M inakuwa inaongeza nguvu ya mawimbi.Una connect vip izo mkuu maelekezo kidogo!
Itakua Post ya zamani mkuu hakuna tena vifurushi vya usiku vya maana.Hallotel unabonyeza ngapi kuipata iyo ofa?
Etherne kwenda Ethernet,So hapo unaamanisha hio cable nitayo tumia itakua na njia mbili yhn Ethernet kwenda wan? Au sijaelewa
Nilpitia uzi bila kuangalia kalenda mkuu, kweli ni uzi wa, amaniItakua Post ya zamani mkuu hakuna tena vifurushi vya usiku vya maana.
Mkuu hizo port zinakua na rangi yoyote Ili kujua hii ni lan na hii wan?Etherne kwenda Ethernet,
Port ya wan na lan kawaida muonekano ni ule ule. Matumizi tu ndo tofauti.
Most of time lan ni njano na wan inaandikwa kabisa Wan kwa nje,Mkuu hizo port zinakua na rangi yoyote Ili kujua hii ni lan na hii wan?
Hapa mkiwa wa tano wazee wa kudownload mshale lazima ulale kushoto mkuu,hii device yako inahamishika? Je ukihama eneo inawezekana speed ikaongezeka?Mrejesho
- Scars
View attachment 2749846
- Nimepata "mzigo" toka Airtel, nimejiunga na 70K package. Eneo langu lina 4G, na hii ndio kasi ninayopata, Inakidhi mahitaji yangu, kikubwa ni Unlimited.
View attachment 2749849
--
View attachment 2749852
MKUU KUNA KITU NILIKUWA SIJAELEWA NIMEANGALIA HII ROUTER KWA NYUMA KWENYE ZILE ETHERNET NIMEKUTA IMEANDIKWA SEHEMU WAN/LAN NA ZINGNE NI LAN TU PEKEE UWELEWA WANGU NILIKUWA NAJUA IZO LAN NI WAN NI ZINA MUONEKANO TOFAUT ASEEMost of time lan ni njano na wan inaandikwa kabisa Wan kwa nje,
Sema nimewahi kusoma mahala kuna router unaweza ifanyia configuration port ya Lan itumike kama wan, utaangalia menu zako za router.
Ila kama router ya sasa ina LAN tu sio issue hakikisha tu router utakayonunua ku extend in Wan.
Uhuru na Msimbazi haya marouter yamejaa kibao as cheap as 5000, sema kupata quality nzuri tafuta wifi 5 aka IEEE 802.11ac itakua na speed nzuri.
Aisee umetisha sana mzeeMrejesho
- Scars
View attachment 2749846
- Nimepata "mzigo" toka Airtel, nimejiunga na 70K package. Eneo langu lina 4G, na hii ndio kasi ninayopata, Inakidhi mahitaji yangu, kikubwa ni Unlimited.
View attachment 2749849
--
View attachment 2749852
Ndio inahamishika.hii device yako inahamishika?
Ubarikiwe sana mkuu ,sijutii kuijua jf ukiwemo wewe...naona unazidi kunipa hamu niende kariokoo nikanunue hizi used wifi..kipengere sijajua urefu wa wire itakua bei gani naona kama zina bei ghari hivi.Most of time lan ni njano na wan inaandikwa kabisa Wan kwa nje,
Sema nimewahi kusoma mahala kuna router unaweza ifanyia configuration port ya Lan itumike kama wan, utaangalia menu zako za router.
Ila kama router ya sasa ina LAN tu sio issue hakikisha tu router utakayonunua ku extend in Wan.
Uhuru na Msimbazi haya marouter yamejaa kibao as cheap as 5000, sema kupata quality nzuri tafuta wifi 5 aka IEEE 802.11ac itakua na speed nzuri.
Mrejesho mzito sana[emoji16][emoji16]nakazia tu mimiAisee umetisha sana mzee
Mimi leo nategemea kupokea simu kutoka TTCL nipewe mrejesho kuhusu survey yao waliyofanya juzi.
Nitakuja na mrejesho mzito sana
Ok chief pamojaNdio inahamishika.