mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Nisha type vyote hivo kaka lakini haifiki kwenye ile page ya login..Hakikisha upo connected na wifi yako ingia kwenye browser type hio ip
192.168.100.1
Jina andika Root
Password andika kama ilivyo kwenye screenshot
Nimechana mikeka 10 nilimrudia nyau huyuu[emoji16]USM Algier wanaandika bao la kwanza kwa mkwaju wa penati dakika ya 42
Wamechana mkekaUSM Algier wanaandika bao la kwanza kwa mkwaju wa penati dakika ya 42
Unaipataje hii mkuuHALOTEL CUG
15GB + Dk + Sms = Bei 28,000.
20GB + Dk + Sms = Bei 37,000.
25GB + Dk + Sms = Bei 40,000.
30GB + Dk + Sms = Bei 48,000.
42GB + Dk + Sms = Bei 60,000.
52GB + Dk + Sms = Bei 78,000.
65GB + Dk + Sms = Bei 90,000
120GB + Dk + Sms = Bei 140,000.
NB: *Bando inadumu zaidi ya miezi 3 na Kila package Ina Dak 1100 sms 1000 pia zinaweza kuwa Mara mbili itategemea na ofa Kwa muda huo
Umejiingaje mkuuIpo ,natumia
Hawa jamaa wana bei mnoo....Zanlink wananiambia mpaka wafanye survey kunifungia fiber..
Package yao inaanzi 118$ ni unlimited
20Mb/s..
Hapo bado installation fee.
Unguja hapa
Nami nikabugi ku comment kwenye uzi ambao haihusiani na madaNimechana mikeka 10 nilimrudia nyau huyuu[emoji16]
Aisee Mbps 5 kwa 139K mbona kipande sana?Hawa jamaa wana bei mnoo....
Internet yao ni Dedicated ndiyo maana prices ziko juu.
World mobile nao prices zimesimama sana.....
Subiri Halotel Mkuu. Wana Home internet service ambayo itakua unlimited nayo wanadeploy mwishoni mwa mwezi huu kwa Unguja. Kwa Info zaidi utamuuliza huyu Dada
+255 621 588 623. View attachment 2750603
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Kama menu hufiki ina maana hujajua ip yako. Tumia computer ingia CMD kisha type Ipconfig kujua Ip ya kuingilia menu.Nisha type vyote hivo kaka lakini haifiki kwenye ile page ya login..
Kwenye connection kati ya PC na router tumia Ethernet Cable, ukitumia connection ya WI-FI mara nyingi inazingua kwenye ku log inNisha type vyote hivo kaka lakini haifiki kwenye ile page ya login..
Ni pocket WiFi kwa 50K unapata offer ya 20GB, baada ya hapo unakuwa unanunua 1GB kwa buku. Niliwacheki airtel shop juzi kati.Nimepata msg ya Airtel wanauza router(sijui ni router au pocket Wi-Fi wanasema tu ni kifaa cha internet)kwa 50k na utapata bando 10GB kwa 10k(Sijajua ni kwa wiki/mwezi) hii imekaaje
Hii nafuu na salama nzuri hii inafaaNi pocket WiFi kwa 50K unapata offer ya 20GB, baada ya hapo unakuwa unanunua 1GB kwa buku. Niliwacheki airtel shop juzi kati.
@Chief-MkwawaKama menu hufiki ina maana hujajua ip yako. Tumia computer ingia CMD kisha type Ipconfig kujua Ip ya kuingilia menu.
Hakikisha pc imekua connected na hio wifi
Mkuu router wanakupa bure au unalipia?Aisee nimelipia Vodacom unlimited ya 120k kwa mwezi, wanakupa router ya 5G ambayo unaweza kuibeba kwenda nayo popote.Na inaconnect hadi 20+ people.Nashauri kwa anayeafford achukue hii hatojutia
Mkuu inatokea ukiwa unafanya jambo gani?@Chief-Mkwawa
MediaServerFailed kwa simu za Samsung Galaxy una limaliza vipi.
Big thanksHawa jamaa wana bei mnoo....
Internet yao ni Dedicated ndiyo maana prices ziko juu.
World mobile nao prices zimesimama sana.....
Subiri Halotel Mkuu. Wana Home internet service ambayo itakua unlimited nayo wanadeploy mwishoni mwa mwezi huu kwa Unguja. Kwa Info zaidi utamuuliza huyu Dada
+255 621 588 623. View attachment 2750603
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Kwa Dar ,unaunganishwa kwa kuletewaNaitaka msaada najiungaje?
Wanajitetea ni Dedicated. Kama hivyo ni sahihi......Dedicated ni gharama Mkuu.Aisee Mbps 5 kwa 139K mbona kipande sana?
Karibu kama Upo Dar unaletewa...kama upo mkoani unamtuma mwakilishi wako akuchukulie then anakutumiaMkuu,
Naomba kupata maelekezo yako kuweza kuwa na vifurushi hivi?