Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kumbe inafunguka hadi hapa.Inagomea hapaView attachment 2751616
Sasa ina maana haikupi access ya kuandika password au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe inafunguka hadi hapa.Inagomea hapaView attachment 2751616
Yes hapo ndipo waliponificha mkuuKumbe inafunguka hadi hapa.
Sasa ina maana haikupi access ya kuandika password au?
Unaweza kutuma picha inayoonesha full details ili tuweze kuona vizuri maelekezo yanayoonekana kwenye screen baada ya kugoma?Yes hapo ndipo waliponificha mkuu
Hakuna surveyor aliyekuja wala kupiga simu?Dsm hapahapa sema tutakomaa nao tu hawa
Umejaribisha ku clear data kwenye app settings?Inatokea nikiwasha Camera inaandika haya maneno halafu ina Camera inazima.
Hizo VPN zenu za MB300 hata shobo nazo hatunaNingewapa free VPN sema wengi wenu wakuda sana mta report huko Voda na Airtel
Bilasha PM yako itakua na meseji nyingi...😁😁😁.Wale wa Cuba tu,ndo wamekusoma.Ningewapa free VPN sema wengi wenu wakuda sana mta report huko Voda na Airtel
Trust no oneMind you, mimi ndio niliwapa VPN hadi ya Gb5 per day...
Wakuda humu wakaanza kuiuza huko fb
All of a sudden ikafungiwa
HapoUnaweza kutuma picha inayoonesha full details ili tuweze kuona vizuri maelekezo yanayoonekana kwenye screen baada ya kugoma?
Nenda setting kisha apps kisha chagua Camera kisha clear cache na data angalia tatizo linaendelea?Inatokea nikiwasha Camera inaandika haya maneno halafu ina Camera inazima.
Hilo la proxy nalo neno,
Bila bilaHakuna surveyor aliyekuja wala kupiga simu?
PM ipo on mbona,yes ni line ya internetPM yako imefungwa mkuu,yaani sijakuelewa,ninasajili line dar au inakuaje hapo nielekeze?
poa,nakuja pm mkuu.PM ipo on mbona,yes ni line ya internet
Hiyo pia nimejaribu mkuu bila bila...nimejaribu kutumia firefox nayo bila tena yenyewe ndio imekuwa nzito kabisa hata kufunguka[emoji16]Hilo la proxy nalo neno,
Download Firefox then test nayo uone itakataa?
Hio ya 192.168.100.13 umejaribu?
Yeah hii point muhimu sana.Mkuu Scars yule dada kanicheki leo, ananiambia eti maeneo nilipo inawezekana kuna 5g, hivyo kesho surveyor atakuja kucheki network kama kuna 5g...
Inavyoonekana wanahitaji wateja sana, shida wameshindwa kujua soko kubwa kwa sasa liko wapi...
Hivyo vifaa vyao vya 5g walivyofunga bunju,kunduchi,kawe nk wangevileta maeneo mengine kama kimara,ubungo,mbezi mwisho na kibamba wangepata wateja wengi sana....
Tuendelee kiwashauri waache kukimbilia maeneo yaleyale ambayo yameshakamatiwa tayari..
Watumie email ya malalamiko kwenye email yao kuu.Bila bila
Chief imekataa Unfortunately,Camera has stopped.Nenda setting kisha apps kisha chagua Camera kisha clear cache na data angalia tatizo linaendelea?
Ndo hiyo package ya 70k, Sio ?Final wazee nimeikamata Sasa dah[emoji1784]View attachment 2736809
Nitafanya hivi pia, wadau wengi walishauri hawa ni wakwenda nao mperampera mpaka kinaelewekaWatumie email ya malalamiko kwenye email yao kuu.
Hiyo email imeunganishwa kwenye ofisi zao zote, so ukituma itawafikia hadi wale ambao walikuwa hawana taarifa na swala la ucheleweshaji wa huduma.
Hapo ndio utahudumiwa fasta.