Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Aisee umetisha sana mzee

Mimi leo nategemea kupokea simu kutoka TTCL nipewe mrejesho kuhusu survey yao waliyofanya juzi.

Nitakuja na mrejesho mzito sana
Ttcl miyeyusho sana hawa jamaa
 
Tupe mkasa wa efforts zako kwenye kujaribu kupata huduma zao
Mm bado napambana nao tunazungushana tu, wadsu wanasema tuwasumbue ila nayo naona kama haisaidii, ni wahuni tu wale jamaa
 
Mm bado napambana nao tunazungushana tu, wadsu wanasema tuwasumbue ila nayo naona kama haisaidii, ni wahuni tu wale jamaa
Una mda gani tangu uanze mchakato?
 
Una mda gani tangu uanze mchakato?
Muda mchache ata miez mitatu bado, ila mambo yao yamepindapinda sana hawa, kama ww umekaa muda mrefu ivo mm naona labda mwakani
 
Yes na ipo in naingia sehem zote kasoro hapa kwenye kulog in tu
Basi hapo zimewekwa wrong IP address

Chakukufanya nenda kwenye connection bar hapo halafu click hiyo Ethernet cable itafunguka upande wa settings

Huko utaona ip address kisha utazi copy utaenda kuzi paste kwenye browser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…