Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama ni hivyo sawaWanajitetea ni Dedicated. Kama hivyo ni sahihi......Dedicated ni gharama Mkuu.
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo sawaWanajitetea ni Dedicated. Kama hivyo ni sahihi......Dedicated ni gharama Mkuu.
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Ttcl miyeyusho sana hawa jamaaAisee umetisha sana mzee
Mimi leo nategemea kupokea simu kutoka TTCL nipewe mrejesho kuhusu survey yao waliyofanya juzi.
Nitakuja na mrejesho mzito sana
Tupe mkasa wa efforts zako kwenye kujaribu kupata huduma zaoTtcl miyeyusho sana hawa jamaa
Shukrani boss ngoja dogo aje nitumie pc yakeKama menu hufiki ina maana hujajua ip yako. Tumia computer ingia CMD kisha type Ipconfig kujua Ip ya kuingilia menu.
Hakikisha pc imekua connected na hio wifi
PM yako imefungwa mkuu,yaani sijakuelewa,ninasajili line dar au inakuaje hapo nielekeze?Karibu kama Upo Dar unaletewa...kama upo mkoani unamtuma mwakilishi wako akuchukulie then anakutumia
Ok shukrani bossKwenye connection kati ya PC na router tumia Ethernet Cable, ukitumia connection ya WI-FI mara nyingi inazingua kwenye ku log in
Mm bado napambana nao tunazungushana tu, wadsu wanasema tuwasumbue ila nayo naona kama haisaidii, ni wahuni tu wale jamaaTupe mkasa wa efforts zako kwenye kujaribu kupata huduma zao
Hii hapa nitumie ipi hapoKama menu hufiki ina maana hujajua ip yako. Tumia computer ingia CMD kisha type Ipconfig kujua Ip ya kuingilia menu.
Hakikisha pc imekua connected na hio wifi
Una mda gani tangu uanze mchakato?Mm bado napambana nao tunazungushana tu, wadsu wanasema tuwasumbue ila nayo naona kama haisaidii, ni wahuni tu wale jamaa
Umechomeka Ethernet cable?Ngoma bado mbichi[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2751590
Muda mchache ata miez mitatu bado, ila mambo yao yamepindapinda sana hawa, kama ww umekaa muda mrefu ivo mm naona labda mwakaniUna mda gani tangu uanze mchakato?
Tuma picha inayoonesha upande wa kwenye connection hapoNgoma bado mbichi[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2751590
Uko mkoani?Muda mchache ata miez mitatu bado, ila mambo yao yamepindapinda sana hawa, kama ww umekaa muda mrefu ivo mm naona labda mwakani
Upande upi wenye connection?Tuma picha inayoonesha upande wa kwenye connection hapo
Yes na ipo in naingia sehem zote kasoro hapa kwenye kulog in tuUmechomeka Ethernet cable?
Dsm hapahapa sema tutakomaa nao tu hawaUko mkoani?
Inagomea hapaYes na ipo in naingia sehem zote kasoro hapa kwenye kulog in tu
Inatokea nikiwasha Camera inaandika haya maneno halafu ina Camera inazima.Mkuu inatokea ukiwa unafanya jambo gani?
Basi hapo zimewekwa wrong IP addressYes na ipo in naingia sehem zote kasoro hapa kwenye kulog in tu