Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ningewapa free VPN sema wengi wenu wakuda sana mta report huko Voda na Airtel
Bilasha PM yako itakua na meseji nyingi...😁😁😁.Wale wa Cuba tu,ndo wamekusoma.
 
Hilo la proxy nalo neno,

Download Firefox then test nayo uone itakataa?

Hio ya 192.168.100.13 umejaribu?
Hiyo pia nimejaribu mkuu bila bila...nimejaribu kutumia firefox nayo bila tena yenyewe ndio imekuwa nzito kabisa hata kufunguka[emoji16]
 
Yeah hii point muhimu sana.
 
Bila bila
Watumie email ya malalamiko kwenye email yao kuu.

Hiyo email imeunganishwa kwenye ofisi zao zote, so ukituma itawafikia hadi wale ambao walikuwa hawana taarifa na swala la ucheleweshaji wa huduma.

Hapo ndio utahudumiwa fasta.
 
Nitafanya hivi pia, wadau wengi walishauri hawa ni wakwenda nao mperampera mpaka kinaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…