Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Shukrani..hii njia naona itanifaa sana.vijana wanapeana sana pasword at list niwe nawaona
Tafuta tu router nzuri then blacklist/white-list Mac adress, mfano mtu unae connect na wifi unachukua Mac yake Unai white-list, akimpa mtu password huyo aliepewa unamblacklist, hata aki connect hapati kitu.
 
Mimi nipo kinondoni...kuna hawa wanajiita netsolotion 20mbps unapata kwa 59000 kwa mwezi na ni unlimited but wakati wa kuanza inatakiwa ulipie at least miezi 3 installation ni free
 
Tafuta tu router nzuri then blacklist/white-list Mac adress, mfano mtu unae connect na wifi unachukua Mac yake Unai white-list, akimpa mtu password huyo aliepewa unamblacklist, hata aki connect hapati kitu.
Ndicho nataka nifanye yaani upo kwa akili yangu mkuu kesho nasogea kko nikasagule naanda 20 yangu hope itatosha
 
Tafuta tu router nzuri then blacklist/white-list Mac adress, mfano mtu unae connect na wifi unachukua Mac yake Unai white-list, akimpa mtu password huyo aliepewa unamblacklist, hata aki connect hapati kitu.
Sema saizi kuna simu ambazo zina mfumo wa kitofauti kidogo.

Mfano Google Pixel inaweza kupokea internet kupitia WI-FI halafu uka share hiyo internet na mtu mwingine kupitia hotspot yako.

Simu zingine ukiwasha WI-FI halafu ukataka kuwasha hotspot, WiFi automatically itajizima. Yani haiwezekani WiFi na hotspot zote zikawa on service kwa mpigo.

Kwa njia hii ni ngumu kuweza kum-block huyo mtu mwingine anayetumia WI-FI kupitia mtu uliyemuunganisha.
 
Asante sana, mimi nakaa mbezi ya kibamba.
Nitafatilia hiyo ya Airtel nafikiri 70k naweza mudu maana kwa sasa najikuta natumia mpaka 5000 kwa siku kwenye internet.

Je hiyo router ni portable nanunua na kuitumia popote au inafanyika installation?
 
Sio Pixel tuu, kimsingi ni simu zote latest zina huo uwezo, sijajua wazee wa iOS, ila simu za android ni feature ya kawaida kwa sasa.
 
Hapo ni simu ina act kama repeater, kwa uelewa wangu bado itaonekana kwenye router. IP mama ipo kwako ambayo yule mtu anatumia ku connect.
Haionekani Mkuu mimi nimejaribu

Nimegundua inachukua IP address ya ile simu ambayo inatambulika kwenye control pannel ya Router.

Yani huu ni msala labda kama una Router yenye uwezo wa kugawa bandwidth uwapimie speed ambayo hata wakishare hawatapata speed kubwa.

Labda uwakomeshe kwa hivyo
 
Ina maana hapo hutakuwa na uhakika wa idadi rasmi ya devices zinazonufaika na intaneti yako. Huu mtihani mwingine mgumu.
Ngoja tuangalie pengine tukaweza kupata suluhu
 
Kuna huu mzigo vip utanifaa nikiunga na router yangu kuwa kama accesspoint?View attachment 2763905View attachment 2763906
N300 ni wifi ya kizamani mkuu. Router za Wifi 5 zitakua na speed zaidi.

Sema nimesoma mahala hii router ina range kubwa sana, so kama lengo ni coverage over speed itakufaa, ila kama unataka speed kucheza games, kustream etc ni ya kizamani.
 
Hapa lengo ni Kuongeza IWEZE kufika SEHEMU ya mbari zaidi maana wenye uhitaji ni watu wanaotumia simu tu
 
hii ndo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…