Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu sasaiv unatumia 5G router kama Mimi embu nipe mbinu ya kuhide password au Ile qr code isionekane
Mkuu jaribu kupitia hapa
 
Cheki speed hiyo
Screenshot (31).png
 
Contents unazoangalia youtube watu wametumia gharama kuziandaa so hiyo ni namna ya kuchangia gharama. Ndomana usipotaka kuangalia hayo matangazo utapaswa kulipia premium (kuchangia direct)
😄😄😄🤥Sasa mimi hayo matangazo yananihusu nini kama tuko na TV
 
Vitu vyote naona hadi waliocinnect hii router yangu nawaona issue hapo kwenye kuchange password coz lazima iende kwa ip inagomaaaa
 
Hii Kama Unataka kwa home use inabidi ununue router zao nafikiri inaanza 615000. Lakini Ukienda na license ya biashara na TIN unapata router bure Lkn Pia ina mkataba wa miaka miwili na kufanya deposit ya kifurushi unachotaka cha miezi miwili.
Hivi leseni ya biashara ni kazima?

TIN tuu haitoshi?
 
Back
Top Bottom