Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Miyeyusho sana unaomba huduma kama unaomba kuchangiwa figo bwana.

Nimeanua kuachana nao na siku wakinitumia email nitawandikia mkeka mrefu.

Halafu kwenye attachment ntaweka na picha ya Router ya Airtel, wakome.
Mi nawaskilizia hii october nione itakua vp, lasivyo tutaungana
 
Yupo mwanangu anaitumia na iko fresh

Ishu ni kwamba haipigi wala kutuma meseji.

Halafu hata namba yenyewe haipo.

Ukiminya *106# kuangalia usajili haikuletei namba halisi ya simu
hilo sio tatizo,nikihitaji hiyo huduma niwe na nini??
 
Ndiyo yule amekupa router bure kwa kusubscribe kifurushi cha 110k mkuu?

Naomba niunganishe naye nami niipate hii mkuu.
Huyu ni mwingine Mkuu baada ya kunihakikishia kwa 100% kuwa kikiisha nitakuwa na uwezo wa kulipia 70,000 nikaamua nijitose.

Ila requirement lazima uwe na tin, leseni ya biashara na namba ya Nida.

+255 685 503 314
 
Kuna post niliweka ikiwa na screenshot ya tangazo ambalo lina information za hivyo vifurushi.

Lakini hii haijitaji uwe na tin, wala leseni

Mchawi Nida tu na kibunda
 
Vodashops pia wanatoa router "bure", ila unalazimika kulipia kifurushi cha 115,000/- kila mwezi. Hii ni unlimited, kwa maana ya kwamba kifurushi hakuna kuisha. Ndicho ninachotumia mimi kwa sasa, na stream kia kitu bila shida.
 
Kuna post niliweka ikiwa na screenshot ya tangazo ambalo lina information za hivyo vifurushi.

Lakini hii haijitaji uwe na tin, wala leseni

Mchawi Nida tu na kibunda
shukrani boss,next week tutafanya mpango huo,now nipo moro
 
Huyu ni mwingine Mkuu baada ya kunihakikishia kwa 100% kuwa kikiisha nitakuwa na uwezo wa kulipia 70,000 nikaamua nijitose.

Ila requirement lazima uwe na tin, leseni ya biashara na namba ya Nida.

+255 685 503 314
Ngoja nimcheki mkuu..

Ila kama na voda wameongeza package ya 70k, basi hawa airtel hawana bahati maana voda hawanaga kazi mbovu[emoji3][emoji3]

Hapo bado tunawasubiri Tigo na Halotel nao waje na packages zao...

Kitawaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Voda iko vizuri ngoja tuendelee kusoma hii battle ya hizi kampuni.
 
Back
Top Bottom