Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Niangalizie hii mkuu ndio anasema imebaki
551881713.jpg
 
Hii line mkuu nikienda kwenye office za Hallotel watanipatia?
Sijajua kama zipo rasmi kuwa hata kwenye ofisi zao zinauzwa.

Ila leo kwenye market nimeona post kuna mdau anaunganisha.

Sharti lake ni kwamba lazima mkutane physically akusajilie laini. Unaweza ukamcheki kupitia tangazo lake hapo kuna namba ameweka.
Screenshot_20230920-175730.png
 
Baada ya dakika 20 naye akajibu meseji View attachment 2754571

Nikamjibu

View attachment 2754575

Nikamfahamisha kuwa kesho ambayo ndio leo nitafika ofisini kwao ili nipate uhakika zaidiView attachment 2754576

Leo sasa kabla sijaondoka kwenda ofisini kwao nikapiga simu tena kwa surveyor ikaita lakini haikupokelewa.

Nimefika ofisini kwao nikamkuta mwenzake ambaye alikuja naye siku ya survey.

Nikamuuliza vipi mchakato umefikia wapi. Huyu akaniambia eneo langu connection ya B.O.Q imejaa hivyo wataalamu wapo katika mchakato wa kufunga zingine, zikikamilika watanijuza.

Nikamuuliza kuhusu uhakika wa siku ambayo hiyo process ya kufunga hiyo connection itakamilika.

Akaniambia yeye hawezi kujua kwasababu hilo jambo lipo nje ya uwezo wake.
Hata kuandika tu hajui...

Tutafika tumechoka sana...
 
Naona saizi wasambazaji wa Router za Airtel wameanza kutembea mitaani kama wasajili laini.

Soko limekuwa gumu
We told them...

Walipaswa wachunguze soko kwanza, kisha wajikite kwenye maeneo yasiyo na huduma za 5G unlimited..

Huwezi kwenda maeneo ambayo yako saturated na providers wengine tayari, tena wana cheap prices kuliko wewe mgeni..
 
Kuna mmoja kaniambia kuwa ukiwa na tin, leseni na namba ya NIDA anakupa free Router utalipia 110,000 kwa kifurushi cha Mbps 30 cha mwezi mmoja

Halafu baada ya hapo mwezi ukiisha utakuwa na uchaguzi wa kununua kifurushi chochote unachotaka hata kama utanunua kile cha 70,000.

Lakini ukumbuke niliwahi kuuliza hilo swali nikajibiwa kuwa haiwezekaniki. Mfanya biashara lazima alipie kifurushi cha 110,000.

Sasa huyu aliyekuwa anatembea mtaa kwa mtaa nimemuuliza vipi na wewe system yako ina ruhusu kumsajili mteja kwa 110,000 halafu baada ya hapo alipie 70,000.

Kanijibu kuwa huo mfumo haupo. Kapiga simu hadi kwa kiongozi wake kaambiwa haiwezekani.

Sasa najiuliza inakuwaje watoa huduma wengine swala hilo liwezekane na wengine ishindikane?

Jamaa akaniambia pengine huyo jamaa anasaka wateja kwa nguvu, anatumia uongo kuwarubuni wateja

Anajua kuwa akikuunga saizi ni mpaka mwezi uishe ndio uanze kumtafuta, wakati huo tayari ye anapata kamisheni.

Vita ni kali sana
 
Hapo inabidi uchukue details zake zote...

Mwisho wa mwezi ukifika kifurushi cha 70K kikagoma basi umreport..
 
Back
Top Bottom