Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sawa mkuu, nitamchek. Nitaleta mrejesho
Mrejesho

Nilichkua contact aliyonipa mdau hapo juu kuhusu unlimited internet ya Voda.

Nikampigia mshkaji, akarespond vizuri akanipa utaratibu huu:

1. Contract ni ya miaka miwili, ambapo router unapewa bure, lakini ukiterminate contract utalipia thamani ya router

2. Unatanguliza fee ya miezi miwili kama security deposit.

Baada ya kusign ile contract nikatumiwa details za kulipia baada ya siku. Then baada ya kulipia after two days nikaletewa router ya ZTE 5G.

Ndo niko naitest hapa, location nilipo 5G inakamata vyema bila tatizo. So far performance ni nzuri sana. Voda wako vizuri.
 
Mkuu, kwa sasa nasikia wana kifurushi cha 70k, kuna ukweli ktk hili?

Na wanahitaji TIN tuu au ni lazima uwe na leseni ya biashara?
 
Ukiangalia kwenye menu kuna vifurushi vya kuanzia bei gani..

Hebu fanya kutuangalizia mkuu, ili tujue tunaenda Voda ama Airtel
Sijajua nacheck kwenye menu ipi mkuu, utaratibu nliopewa ni wa kulipa through postpaid, kwa account nliyofunguliwa.

Ila nikichek kwenye website ya Voda naona bado kuna package za kuanzia 120k
 
Mkuu, kwa sasa nasikia wana kifurushi cha 70k, kuna ukweli ktk hili?

Na wanahitaji TIN tuu au ni lazima uwe na leseni ya biashara?
Unazungumzia VODACOM SME bila shaka kama sijakosea kuelewa maelezo yako
Hii hapa chini
👇👇
 

Attachments

  • IMG-20230923-WA0000.jpg
    50.7 KB · Views: 9
Kivip mbona sijaelewa
Remote access inakupa uwezo wa kui manage Router yako ukiwa popote pale.

Mfano umeacha Router home halafu ukatoka ukaneda mbali. Ukiwa huko unaweza kuingia kwenye system ya Router na kuangalia nani ame connect internet kupitia Router yako.

Ukiwa huko huko mbali unaweza kum block, uka change password za WiFi yako.
 
Hio naona Kama ni ngumu Mzee coz Ili uingie kwenye mfumo lazima uwe umeconect na hiyo router yako mie nilijalibu sana ivoo ikanigomea
 
TTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…