mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Duuuh umetisha unafanya mishe gani?Mi nilichukia tarehe 22 mpaka sasa nimetumia 700GB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh umetisha unafanya mishe gani?Mi nilichukia tarehe 22 mpaka sasa nimetumia 700GB
Ina 3G, 4G na 5GAhsante mkuu,so hiyo router ina option ya 4G na 5G inategemea na eneo
Mi ni mlevi wa series zile HD lakini sio kama nimetumia GB zote hizo kwenye seriesDuuuh umetisha unafanya mishe gani?
Mimi nina TB 3 zote nimejaza movie zenye quality ya 1080 na kuna pilau na magemu kama yote mwezi unao naongeza Tb1 tena hiyo kwa ajili ya mwakaniSaizi kipengele ni external tu maana niliyonayo ina capacity ya 500GB
Nafikiria kununua 2TB flash
Kabisa huku tusha hama skuizi tuna unlimitedHii takataka ya gb watu washanuka kwa sasa wengi wanapambana wapate unlimited kwa gharama yoyote
Achana nao kausha damu tumia vodacom supakasi au tumia airtel nao wana unlimitedTTCL MOROGORO NIMEOMBA FIBER NOW MWEZI WA NNE SIJAUNGANISHIWA.....MWANZO NILIAMBIWA VIFAA VIMEISHA NOW NAAMBIWA WIRE ZIMEISHA.
Mimi kuna demu nilimpa password anacheki pilau huyo sijui ajui kuwa kila anapo ingia huku mimi naona😂😂😂🤣🤣😁 ipo siku ntakaita magetoni nikakunjeMi ni mlevi wa series zile HD lakini sio kama nimetumia GB zote hizo kwenye series
Na pia muda kama huu huwa na share home na majirani
Natumia voda 5g ila kuna ofisi ndio nataka kuifunga mjiniAchana nao kausha damu tumia vodacom supakasi au tumia airtel nao wana unlimited
Duh sema TTCL kupata huduma zao ni ngumu sanaNatumia voda 5g ila kuna ofisi ndio nataka kuifunga mjini
Ndio naisoma namba sikutakaga kununua iyo 5g nikisuri fiber....Ilipopita mwezi kimya ndio nikaanza fuatilia 5g...baada ya wiki 2 tu 5g nikapata ndio natumia kusongesha biashara.Duh sema TTCL kupata huduma zao ni ngumu sana
Unatumia router gani?Mimi kuna demu nilimpa password anacheki pilau huyo sijui ajui kuwa kila anapo ingia huku mimi naona😂😂😂🤣🤣😁 ipo siku ntakaita magetoni nikakunje
Router mkuu, ya Vodacom 5GRouter au fiber?
4G inatosha kibongo bongo,ngoja nifanye mpango niichukue maana supa kasi ya voda ya elfu 50 nadhani wamepunguza mbps kimya kimya speed imekua ya kinyonga mno!Ina 3G, 4G na 5G
Eneo langu hakuna 5G so taa yake haiwaki sana inawaka kwa mbali
Lakini pamoja na hivyo bado niki connect WiFi ya 5G napata internet nzuri tu.
Changamoto yake ambayo nimeiona ni kwamba haina coverage kubwa tofauti na 4GView attachment 2765537
Ya vodacom natumia na wapangaji wenzangu sio wengi saanaUnatumia router gani?
Hili balaaa mzeeRouter mkuu, ya Vodacom 5GView attachment 2765873
Unatumia router gani?
Hiyo achana nayo tumia ya laki 1 na 15 ndo tamu4G inatosha kibongo bongo,ngoja nifanye mpango niichukue maana supa kasi ya voda ya elfu 50 nadhani wamepunguza mbps kimya kimya speed imekua ya kinyonga mno!
Hili tatizo linakuja ukimaliza mbs zile baada ya hapo internet inakuwa slow balaa haivuki Hata 1mbps4G inatosha kibongo bongo,ngoja nifanye mpango niichukue maana supa kasi ya voda ya elfu 50 nadhani wamepunguza mbps kimya kimya speed imekua ya kinyonga mno!
Hii 5G ya package gani mkuu? Maana hiyo speed yamotoRouter mkuu, ya Vodacom 5GView attachment 2765873