Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ahsante mkuu,so hiyo router ina option ya 4G na 5G inategemea na eneo
Ina 3G, 4G na 5G

Eneo langu hakuna 5G so taa yake haiwaki sana inawaka kwa mbali

Lakini pamoja na hivyo bado niki connect WiFi ya 5G napata internet nzuri tu.

Changamoto yake ambayo nimeiona ni kwamba haina coverage kubwa tofauti na 4G
Screenshot_20230928-234333.png
 
Ina 3G, 4G na 5G

Eneo langu hakuna 5G so taa yake haiwaki sana inawaka kwa mbali

Lakini pamoja na hivyo bado niki connect WiFi ya 5G napata internet nzuri tu.

Changamoto yake ambayo nimeiona ni kwamba haina coverage kubwa tofauti na 4GView attachment 2765537
4G inatosha kibongo bongo,ngoja nifanye mpango niichukue maana supa kasi ya voda ya elfu 50 nadhani wamepunguza mbps kimya kimya speed imekua ya kinyonga mno!
 
Back
Top Bottom