Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi mkuu tofauti kati ya LAN cable na Ethernet cable ni nini?
In practical ni kitu kimoja mkuu, japo kwenye theory vinaweza kuwa tofauti.

Kikawaida waya karibia zote wanazotumia kwenye Lan ni Ethernet hivyo kwa haraka haraka Ethernet cable = Lan Cable.

Ila siku ikitokea mtu aka tumia waya mwengine kwenye Lan yake basi kutakua na utofauti.
 
Mkuu shukrani,nimekuelewa vizuri sana hapa kwani google bard walikuwa wananichanganya kwenye majibu yao
 
Wataalamu naombeni msaada, nataka kuset data limit kwenye simu, niende wapi ili niweze kuregister simu husika na kuiwekea traffic ninayoitaka?




Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
 
Hii Router haina hiyo option
Kweli mkuu? I doubt it. Ngoja nifanye ukorofi mpaka niweze..

Kuna sehemu ya ku register IP/MAC but sina uhakika sana nilikuwa nataka kujihakikishia kama huko ndiko kwenyewe..

 
Wanakupa router kaka ulienda ofisi kuu au ulienda kwenye branch ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…