Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Gharama zake ziko vipi mkuu?Hapana, 5G bado haijafika eneo langu.
View attachment 2770904
=
View attachment 2770915
- Inakidhi mahitaji.
- YT: 1440p bila shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zake ziko vipi mkuu?Hapana, 5G bado haijafika eneo langu.
View attachment 2770904
=
View attachment 2770915
- Inakidhi mahitaji.
- YT: 1440p bila shida
Gharama za airtel zikoje mkuu?Sio cheap tu bali cheap yenye great package na high speed
Hivi mkuu tofauti kati ya LAN cable na Ethernet cable ni nini?Ila hio sio 5G mkuu, ni 5Ghz yaani wifi yenye speed ya gigabit kupanda. Wanaandika tu 5G hapo.
Ethernet cable pia inaweza ikawa local area networkHivi mkuu tofauti kati ya LAN cable na Ethernet cable ni nini?
Je,local area network cable pia inaweza ikawa Ethernet?Ethernet cable pia inaweza ikawa local area network
In practical ni kitu kimoja mkuu, japo kwenye theory vinaweza kuwa tofauti.Hivi mkuu tofauti kati ya LAN cable na Ethernet cable ni nini?
Mkuu shukrani,nimekuelewa vizuri sana hapa kwani google bard walikuwa wananichanganya kwenye majibu yaoIn practical ni kitu kimoja mkuu, japo kwenye theory vinaweza kuwa tofauti.
Kikawaida waya karibia zote wanazotumia kwenye Lan ni Ethernet hivyo kwa haraka haraka Ethernet cable = Lan Cable.
Ila siku ikitokea mtu aka tumia waya mwengine kwenye Lan yake basi kutakua na utofauti.
ThanksKwa coverage nzuri na uhakika Basi voda inafaa Maana haina longo longo, Ukiwa Unataka cheap Basi airtel ni nzuri kwako.
MIE BADO NIPO HARAKATI YA KUFANYA NETWORK YANGU IFIKE MBARI ZAIDI BADO CJAPATA KIFAA CHA BEI RAHISI KABISA MPAK MUDA HUU
Hii Router haina hiyo optionWataalamu naombeni msaada, nataka kuset data limit kwenye simu, niende wapi ili niweze kuregister simu husika na kuiwekea traffic ninayoitaka?
View attachment 2771676
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
Tushazungumzia juu mkuu, router ama repeater, repeater bei rahisi zaidi Quality ndogo Aliexpress hadi 12,000
Kweli mkuu? I doubt it. Ngoja nifanye ukorofi mpaka niweze..Hii Router haina hiyo option
Navyojua hii option inahusu maswala ya blocking haihusiani na bandwidth managingKweli mkuu? I doubt it. Ngoja nifanye ukorofi mpaka niweze..
Kuna sehemu ya ku register IP/MAC but sina uhakika sana nilikuwa nataka kujihakikishia kama huko ndiko kwenyewe..
View attachment 2771694
Gharama za Kifurushi cha Intaneti cha 10MpbsGharama zake ziko vipi mkuu?
Nenda ofisi za halotel watakuungaakikujibu nikumbuke na mimi mkuu
Gharama za Kifurushi cha Intaneti cha 10Mpbs
- Gharama ya awali: TZS 270,000
- Gharama ya kila mwezi: TZS 70,000
Wanakupa router kaka ulienda ofisi kuu au ulienda kwenye branch ?Wakuu, hii router ya vodacom 5G (30 Mbps) ya 120k, inahitaji antena tena njee, au unapewa tu router then kwisha habari yako?.
Halafu pia huwa inakaa siku ngapi kupata approval, ukishaenda kuomba hiyo huduma? Maana, nimeomba jumatatu mpaka muda huu naona kimya.
Chief-Mkwawa Charles kilian