Airtel shop uliyekutana naye ni novice i.e mgeni wa haya mambo...
Router wanazotoa ni za unlimited... Na hii business wanadili nayo makao makuu tuu kwa sasa, kule Moroko. Hata aloniletea mimi router asubuhi alipita kwanza huko makao kuchukua makao ndipo akaja kwangu..
Voda na Airtel wote wana vifurushi category 2, EntepriceBusiness na Retail/Home.
Enteprice, unapewa router bure, ila router inakuwa mali ya kampuni na inatakiwa isihame hame. Pia kwa Airtel vifurushi vya Enteprice vinaanzia 110k.
Retail, router unanunua na inakuwa mali yako. Kwa Airtel vifurushi vinaanzia 70k. Router za Airtel wanauza 200k, router za Voda zipo za 650k na 950k.