utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 1,033
- 900
Kwa kuweka hiyo Power bank, Airtel kweli wamefanya jambo jema sana. Sasa ngojea nisubiri 5G ifike eneo langu niwaibukie nichukue hicho kifaa niachane na Supakasi ya 20mbps. Maana nimeogopa kuchukua 5G modem za Vodacom kwa kuwa umeme ukikatika ndiyo basi tena huwezi endelea na kazi.