Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #7,781
Kama internet speed yako ndogo ama huna tv ya 4k Google Chromecast with Android ipo vizuri around $30-40 inasupport hadi Av1 encoding hivyo haili sana MB unapotumia Youtube ama Netflix etc.Hivi mkuu around 50$ ni android box tv ipi nzuri kwa sasa?
Alternative ni Fire tv ya Amazon. Hizi kwenye sale hadi $15. Na mtumba hadi $10. Pia zipo Mi stick za Xiaomi bei hizo hizo.
Kwa zenye 4k kuna ONN za Walmart hizi za bei rahisi zaidi, kuna chromecast 4k (haina Av1 kama ya full HD) kuna fire tv Max ya 4k, pia ipo mi tv box S nayo pia ina 4k.
Kwa mtumba hio ya 4k kuna Fire tv Cube ikiwekwa kwenye sale ya mtumba inakuwa around $40, fire tv Cube ina nguvu unaweza tumia kama TV box ama ukacheza na games kabisa.