Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hako ka 115k?Ndio unatembea nacho popote alafu kana kasi sana
Ila jana si nilikwambia lakini mie voda walichonambia Summit branch kuhusu hiyo unlimited ya 115?
Ni mpaka niwe na leseni ya biashara
Kama sina, basi napaswa kununua hiko ki router separate na kulipa bundle la 115.