Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Yawezekana nipoUngekuwa mtaani kwangu ningekupa password utumie yangu🤣
Ila ndo vile sasa 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana nipoUngekuwa mtaani kwangu ningekupa password utumie yangu🤣
😂😂 deal.Nitafutie room ya kupanga karibu niamie😃
Polee sana dadaYawezekana nipo
Ila ndo vile sasa 🤣
HeeeDada za town namaanisha kama posta au karikoo wanakupa pasword unatumia paka uchoke postpaid mimi nilitumia ya sme airtel bando inakimbia kama maji 😁🤣🤣
Ahsante sana kaka Chalee, in migombani voice. 😂😂Polee sana dada
Ni wkend unadownload file zako zile kubwa kama ni magemu au movie alafu unarudi zako home na mafile kibaoHeee
Hiyo mbona kazi? Unaifaidi wkend ama?
Maana kwa mkoloni utoke jioni, kisha uanze safari za kuifata Posta mjini.
Bundle zote zinaisha fasta yan. Hamna penye unafuu. Na hapo ni umezima 5G… sasa ukiiwasha full sijui inakuwaje
😅😂😂😂😂🤣🤣Asante dadaAhsante sana kaka Chalee, in migombani voice. 😂😂
Huko Dar si mnaitwa Chaz, huku ni Chale ama Chalesi 🤪
Hela zetu za postpaid tutumie kama kodi😅
Hapo sawa.Ni wkend unadownload file zako zile kubwa kama ni magemu au movie alafu unarudi zako home na mafile kibao
😅kheeh ukipiga hesabu bora ubaki home tu ulaleUkute ni yupo sehemu ya kupanda Kilimanjaro nauli elf 45 🤣
HiviiiiHela zetu za postpaid tutumie kama kodi😅
Na hiyo nauli uwafaidishe voda😅kheeh ukipiga hesabu bora ubaki home tu ulale
Afu kuna package ya 75k niliona kuna mtu alipost japo kwa mara ya kwanza unaunga kwa 120k then mwezi ukiisha unaweza kuunga ya 75k Nayo ni UnlimitedHiviiii
Mbona naweza kufika 115k jamani?
Najitoa postpaid elf 30, voda 40k nayoweka. Jumla ni 70k… minus 115, inabaki inadai 45😂
Hako ka router si nazurula nako popote?
Sema nitakuwa sina dk wala sms.
Sijui wanatuonaje😅Na hiyo nauli uwafaidishe voda
Elf 20 weekly gb9.
Ila voda wanazingua sana 🤣
Wanatuona makoloSijui wanatuonaje😅
Ndio unatembea nacho popote alafu kana kasi sanaHiviiii
Mbona naweza kufika 115k jamani?
Najitoa postpaid elf 30, voda 40k nayoweka. Jumla ni 70k… minus 115, inabaki inadai 45😂
Hako ka router si nazurula nako popote?
Sema nitakuwa sina dk wala sms.
Kaka hii ipo airtel voda haipoAfu kuna package ya 75k niliona kuna mtu alipost japo kwa mara ya kwanza unaunga kwa 120k then mwezi ukiisha unaweza kuunga ya 75k Nayo ni Unlimited
Ngoja nitulieAfu kuna package ya 75k niliona kuna mtu alipost japo kwa mara ya kwanza unaunga kwa 120k then mwezi ukiisha unaweza kuunga ya 75k Nayo ni Unlimited
AlooKaka hii ipo airtel voda haipo