Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 174
- 245
Sinza mkuu,Mitaa ipi mkuu...
Maana sisi wa peripherals tuna njaa nao kwelikweliii
Niliwakuta mtaani mtaa wa pili from home wanaweka nguzo zao nikawaambia mtaani kwetu kuna nyumba kama 4 zinahitaji iyo huduma mwaka wa 2 huu tunazungushwa tu,ndo kesho yake wakaja kutuwekea fiber mpk ndani so apa tunasubiri routers and activation tu .