Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mitaa ipi mkuu...

Maana sisi wa peripherals tuna njaa nao kwelikweliii
Sinza mkuu,
Niliwakuta mtaani mtaa wa pili from home wanaweka nguzo zao nikawaambia mtaani kwetu kuna nyumba kama 4 zinahitaji iyo huduma mwaka wa 2 huu tunazungushwa tu,ndo kesho yake wakaja kutuwekea fiber mpk ndani so apa tunasubiri routers and activation tu .
 
Hii 5G ya package gani mkuu? Maana hiyo speed yamoto
Hii package ile ya 200 Mbps. Nilikua nataka ya 120k ile ya 30Mpbs, kumbe na jirani yangu nae alikua na mpango huo, tukakubaliana tujoin forces tuchukue ya 250k ile ya 100Mpbs. But in the process jirani mwingine akapenda idea, akajoin so ili kila mtu apate speed nzuri tukakubaliana tushare cost ya hyo package ya 200Mbps. So kila mtu anachangia 130k kwa mwezi, me nnaekaa nayo router nachangia 140k, jumla inafika 400k.

Hawa majirani wao ni watu wa netflix, youtube etc sio heavy downloaders. So usiku me ndo nakuwa free kushusha mizigo kwa speed hizo. Hapa nataka nikanunue external 3 za 4TB each, nadhani by next week zitakuwa zimejaa.
 
Sijakupata vyema. Cafe town means internet cafe ama?

Postpaid kwa matumizi yangu ya kuzagaa IG na JF zinanitosha. Ingawa hazijawahi kumaliza mwezi nazo
Dada za town namaanisha kama posta au karikoo wanakupa pasword unatumia paka uchoke postpaid mimi nilitumia ya sme airtel bando inakimbia kama maji 😁🤣🤣
 
Back
Top Bottom