Nilienda kwenye Branch mkuu, nikajiandikisha kila kitu pale. Ilikuwa jumatatu asubuhi, naona ni kimya mpaka leo. Wewe ulitumia siku ngapi kwani?Wanakupa router kaka ulienda ofisi kuu au ulienda kwenye branch ?
Mimi nilienda vodacom kinondoni moroco pale nikapewa kila kitu siku hiyo hiyo niasepa zangu mtaani na router yanguNilienda kwenye Branch mkuu, nikajiandikisha kila kitu pale. Ilikuwa jumatatu asubuhi, naona ni kimya mpaka leo. Wewe ulitumia siku ngapi kwani?
Na hiyo router ina maana unaweza ukaichukulia tu ofisini kwao??? Nina mpango wa kuenda kesho, kuulizia
aisee, ngoja mapema kesho nikaulizie kulikoni mkuu.Mimi nilienda vodacom kinondoni moroco pale nikapewa kila kitu siku hiyo hiyo niasepa zangu mtaani na router yangu
Nenda kaka kesho utapataaisee, ngoja mapema kesho nikaulizie kulikoni mkuu.
Sawa mkuu, Shukrani.Nenda kaka kesho utapata
Leo nimekwenda voda shop pamoja na airtel.
Airtel shop uliyekutana naye ni novice i.e mgeni wa haya mambo...Leo nimekwenda voda shop pamoja na airtel.
Airtel wameniambia hawana router ya 70,000 unlimited
Unlimited ni 11,5000
Ila nilipowabana sana na maswali nikagundua janja janja nyingi hawana unlimited wanatoa GB 66 kwa mwenzi..
Vodacom wao wanatoa 4G router kwa 115k
20MB/S maximum.
Ila 5G wanatoa 30MB/S ni maximum tokana na pesa uliyolipia,ukitaka hata 200MB/S unapata ni pesa yako tu kama uko na router ya 5G.
Airtel wanauza packages
Vodacom wanauza Speed.
Nimejaza fomu ya voda,wacha nisikilizie account itoke.
Vodacom raha sana kuliko jamaa wengine ni kausha damuLeo nimekwenda voda shop pamoja na airtel.
Airtel wameniambia hawana router ya 70,000 unlimited
Unlimited ni 11,5000
Ila nilipowabana sana na maswali nikagundua janja janja nyingi hawana unlimited wanatoa GB 66 kwa mwenzi..
Vodacom wao wanatoa 4G router kwa 115k
20MB/S maximum.
Ila 5G wanatoa 30MB/S ni maximum tokana na pesa uliyolipia,ukitaka hata 200MB/S unapata ni pesa yako tu kama uko na router ya 5G.
Airtel wanauza packages
Vodacom wanauza Speed.
Nimejaza fomu ya voda,wacha nisikilizie account itoke.
Huyo uliemkuta Airtel nadhani labda mgeni au hamkuelewana. Maana nina kama wiki 2½ natumia Airtel unlimited ya 70,000 na tayari nimetumia almost 300GB.Leo nimekwenda voda shop pamoja na airtel.
Airtel wameniambia hawana router ya 70,000 unlimited
Unlimited ni 11,5000
Ila nilipowabana sana na maswali nikagundua janja janja nyingi hawana unlimited wanatoa GB 66 kwa mwenzi..
Vodacom wao wanatoa 4G router kwa 115k
20MB/S maximum.
Ila 5G wanatoa 30MB/S ni maximum tokana na pesa uliyolipia,ukitaka hata 200MB/S unapata ni pesa yako tu kama uko na router ya 5G.
Airtel wanauza packages
Vodacom wanauza Speed.
Nimejaza fomu ya voda,wacha nisikilizie account itoke.
Process za kuipata hiyo mkuu ipoje? Wanataka uwe na nyaraka gani? Na nikienda Airtel shop labda ya mkoa naweza ipata siku hiyo hiyo au kuna kusubiria?Nimewapenda Airtel kwenye mfumo wao wa malipo.
Hakuna haja ya kulazimishana siku nikijiskia kulipia nalipa na kutumia.
Yale maswala ya kuandikiana madeni kwenye huduma ambayo sijatumia ni aina mpya ya unyonyaji.
MImi natumia ile laini ya super kasi muda tu,ni vigezo gani vitanifanya nipate hiyo router au naweza kununua tu kwa hiyo 120k?Mimi nilienda vodacom kinondoni moroco pale nikapewa kila kitu siku hiyo hiyo niasepa zangu mtaani na router yangu
Mkuu 200K ni connection fee au security deposit sio bei ya RouterAirtel shop uliyekutana naye ni novice i.e mgeni wa haya mambo...
Router wanazotoa ni za unlimited... Na hii business wanadili nayo makao makuu tuu kwa sasa, kule Moroko. Hata aloniletea mimi router asubuhi alipita kwanza huko makao kuchukua makao ndipo akaja kwangu..
Voda na Airtel wote wana vifurushi category 2, EntepriceBusiness na Retail/Home.
Enteprice, unapewa router bure, ila router inakuwa mali ya kampuni na inatakiwa isihame hame. Pia kwa Airtel vifurushi vya Enteprice vinaanzia 110k.
Retail, router unanunua na inakuwa mali yako. Kwa Airtel vifurushi vinaanzia 70k. Router za Airtel wanauza 200k, router za Voda zipo za 650k na 950k.
Airtel wameniambia hawana router ya 70,000 unlimited
Tambua kuwa, Wote wanauza speed kwa swala la 5G unlimited PlanAirtel wanauza packages
Vodacom wanauza Speed.
Weka mchanganuo wa gharama mkuu....Wazee starlink inatumika fresh bongo una agiza kenya hapa unafunga unakula raha fresh kama unavyo ona inavyo tumika dishi la canal
Ni kama unavyo lipia kenya na hapa ni vile vile kakaWeka mchanganuo wa gharama mkuu....
So nape kashapigwa chenga ya mwili?Ni kama unavyo lipia kenya na hapa ni vile vile kaka