Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu router za voda za 650k na 950k kwa mwezi unakuwa unalipia shingap?
 
Kwahyo Airtel usipolipa mwezi fulani hawana neno, huku Voda kila mwezi bill iko mezani. Sema wako vizuri
 
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore

Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.
 
Ni airtel makao makuu mlandege..

Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.
Hio ndio shida,Agiza Dsm tu. Kuna wakati nilitafuta Super Kasi ya voda Mwaka jana, hakuna mtu aliejua. Mpaka Ofisi zao zote. Niliagiza Dar es salaam tu. Hivyo Fanya hivyo.
 
Connect D-Link DIR-524 to a broadband modem and wirelessly share your high-speed internet connection and enjoy surfing the web, checking e-mail and chatting with family and friends online. The router uses wireless n 150 technology, which offers increased speed and range over the 802.11g/b standard. It features NAT (Network Address Translation), allowing multiple users to connect to the internet by sharing a single IP address. The DIR-524 also includes an integrated 4-port 10/100BASE-TX ethernet switch that gives you the flexibility to connect wired computers to the network. The built-in firewall safeguards your network from harmful attacks. It minimizes the threats of hackers and prevents intruders from entering your network. Additional security features include a stateful packet inspection (SPI) firewall that analyzes network traffic and parental control that prevents users from viewing inappropriate content. The DIR-524 also supports WEP, WPA and WPA2 encryption to keep your network traffic secure.
 
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore

Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.View attachment 2773966
Kama ni Zanzibar ni kweli hakuna. Kwasasa huduma hiyo ipo kwenye mikoa ambayo wameweka 5G ambayo ni Dar na Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…