Sijajua anashinda jukwaa gani siku hizi ili tulikuwa wote kule vituko mtandaoni nadhani kapunguza kushinda JfOya depal kaenda wapi kitambo sijamuona humu
Hata muuzaji wa flash aliyeniuzia alisema amewauzia wateja wengi na hakuna malalamiko yeyote aliyowahi kupokea kuhusu ubovu wa flash.Kuna jamaa Yangu anayo inapiga kazi mwaka unaisha sasa
Tuendelee na matumizi ya external kama ndo hiviHata muuzaji wa flash aliyeniuzia alisema amewauzia wateja wengi na hakuna malalamiko yeyote aliyowahi kupokea kuhusu ubovu wa flash.
Na hata nillipokuwa naitest alikuwa na confidence zote.
Lakini kuna uwezekano hao watu hawajawahi kupitiliza kile kikomo ambacho kimewekwa kwenye hiyo flash.
Mfano kabla ya mimi kununua hii flash kuna flash nilitaka kununua nayo ni 2TB.
Sasa kilichotokea ni kuwa nilipokuwa naitest, niliweka series moja yenye capacity ya 20GB nikaitest ika play yote.
Nilipotengeneza folder na kui paste tena ikaimgia ila haiku play.
So ile flash ilikuwa na limit ya 20GB. Hiyo ina maana kama wewe unaitumia kwa kuweka vitu vyenye volume ndogo visivyozidi 20GB basi hautaona tatizo kwenye hiyo flash.
Hii ya juzi yenyewe kikomo chake ilipitiliza 20GB, ilikuwa ni 90GB so inawezekana hao wateja wa huyo jamaa hawajawahi kuzidisha vitu vyenye zaidi ya 90GB.
Yaah hata mimi ninge opt external ila kwakua nilitaka niwe nauwezo wa ku access data zangu kwenye simu ndio nikaamua nitafute flash.Tuendelee na matumizi ya external kama ndo hivi
Me muumini wa external zaid kuliko flash
Kabisa bora externalTuendelee na matumizi ya external kama ndo hivi
Me muumini wa external zaid kuliko flash
Nime mmisi sanaSijajua anashinda jukwaa gani siku hizi ili tulikuwa wote kule vituko mtandaoni nadhani kapunguza kushinda Jf
Hapo labda upate SSD cardYaah hata mimi ninge opt external ila kwakua nilitaka niwe nauwezo wa ku access data zangu kwenye simu ndio nikaamua nitafute flash.
Ila kuna mwana mtaani kaniambia ana 2.5TB ya external nafikiria kuichukua hiyo
Japo na zenyewe 256 nadhani ndo nzuriHapo labda upate SSD card
256GB hainitoshiJapo na zenyewe 256 nadhani ndo nzuri
Fukuzia hiyo Tb 2.5 tu hakuna namna256GB hainitoshi
Nina 500GB external imejaa
Sio Zote, kuna possibility kubwa hio Vip ina connect huoni ilivyofungwaHawa TTCL hawako serious, WiFi zao zote hazi connect hapa uwanjani
View attachment 2787220View attachment 2787221View attachment 2787222
Kuna WiFi zaidi ya 30 ila zote nimejaribu ku connect zinagomaSio Zote, kuna possibility kubwa hio Vip ina connect huoni ilivyofungwa
Nunua Hdd used kkoo kama una Laptop ama pc portable nenda nayo upime mwenyewe afya ya HDD.Fake hizo moja niko nayo hapa
View attachment 2787229
Hii unayoiona hapa ni 2TB
Hii kuna jamaa alinifanyia delivery nikaitest kwa kuiwekea series zenye uzito wa 57GB zika play zote
Nikamuambia nainunua ila bado naendelea kui test kwasababu njia rasmi ya kui test inachukua muda mrefu nami sitaki nikusubirishe.
Kweli baadae nikaongeza series kadhaa ilipofika tu 90GB ikagoma kuingia.
Nilipofosi zikaingia ila zikagoma ku play
Nikamcheki jamaa, jamaa akasema ananibadilishia nyingine. Ila mi sina imani tena na hizo flash nimeingia woga.
Nimeona bora anipe external hata ya 1TB
Kuna hii ya VVIP naona wamei secure kwa ajili ya watu special.Sio Zote, kuna possibility kubwa hio Vip ina connect huoni ilivyofungwa
Nataka 2TB vipi kwa hizo za mchongo inaweza kufika around shingapi?Nunua Hdd used kkoo kama una Laptop ama pc portable nenda nayo upime mwenyewe afya ya HDD.
Hdd used GB 500 ni kama 16,000 + case chimbo labda 7000 ama 8000 haifiki hata 25,000 unapata external nzuri.
Kama sio mtu wa kuzurura tafuta dock za Hdd unapachika tu kama mikanda ya video,
Mkuu nina tb 6Fukuzia hiyo Tb 2.5 tu hakuna namna
Siuzi natumia mkuu
Vifurushi vya kasi internet toka jumatatu avipatikani waziri wa mawasiliank mpango wala kujua nini kinaendelea yuko busy kufungia vpn