Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #8,121
Mkuu mi nimetumia TTCL Adsl zaidi ya mwaka inastream na 4mbps, hapo cha muhimu tafuta streams ambazo zinaenda na Quality yako.Chief naomba msaada wako hapa,nina smart tv android huwa naunganisha na hotspot ya iphone natumia Airtel 4G changamoto internet ipo slowa sana japo n 4G nashindwa hata ku stream maana contents zinakwama kwama kla saa kama jana mechi ya Arsenal vs Chelsea nlishindwa kuangalia..nitumie mbinu gani ku solve hii changamoto?View attachment 2788906
Netflix, Amazon prime, Dstv now na youtube uhakika zinapiga kazi na 4mbps kwa HD ya kawaida 720p.
Kwa app za Kuchakachua Football tv ilikua inafanya kazi wana Quality ya sd sema naona siku hizi inazingua sometime inafanya sometime inazingua. Sema kwa smart tv utahitaji Bluetooth mouse ama mouse ya kawaida ku navigate.
Pia stremio kama unajua Kuchagua bit rate inapiga kazi kuangalizia movies na hio speed...
Kwa wewe mkuu jisajili mwenyewe mobilism updates utazipatia huko huko app ni hii
Njia nyengine ni kununua iptv service ambayo ina sd/HD ya kawaida yenye bitrate ndogo halafu tumia tivimate (ipo playstore) kuplay. Unazipata Aliexpress/Alibaba around 20k-40k kwa mwaka, ama kama hujali lugha service za warusi ni hadi $0.5 kwa mwezi.