Mkuu nimetest tayari.... Results hizo hapoHii sijawahi kuitumia aisee, unaweza ukapima speedtest South Africa?
MyBroadband Speed Test
Test your Internet connection bandwidth and latency to servers in Johannesburg, Cape Town and Durban on the MyBroadband Speed Test.speedtest.mybroadband.co.za
Kama hio ping inasomaje?
Ping nzuri sana mkuu, maana hata Zuku inarange 50-70Ms kwa SouthMkuu nimetest tayari.... Results hizo hapoView attachment 2805965
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Huku ukiretest ni between 45-50 na speed inakua 100-150mbpsPing nzuri sana mkuu, maana hata Zuku inarange 50-70Ms kwa South
Umeikosea kui copy kuna details zime missMkuu nikifanya Ivo Ina sema Mac address is incorrect?
Hiyo ni ZUKu ukilipia 250k ndo wanakupa speed hiyoKariakoo kuna Wifi nyingi mno, its just upate Connection, kuna wifi zinakimbiza hadi 100mbps.
Shida ipo kuwajua hao watu, mm naishi kkoo ila sijabahatika kuwapataKariakoo kuna Wifi nyingi mno, its just upate Connection, kuna wifi zinakimbiza hadi 100mbps.
Kuna ZUKU ukilipia 250k unapewa 10MBPSShida ipo kuwajua hao watu, mm naishi kkoo ila sijabahatika kuwapata
Mambo ni mazuri,wazidi kusogea tuAsubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...
Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002
View attachment 2807003
View attachment 2807007
TTCL inaanzaje kuhangaika na kusimika nguzo mitaani kwa ajili ya fiber, wakati moja ya sababu waliyoiona kuwa ndio chanzo cha wao kutoweza kuwafikia watu ilikuwa ni kutokana na kutegemea miundombinu yao ambayo haijawa supplied sehemu nyingi?Asubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...
Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002
View attachment 2807003
View attachment 2807007
Umewaza mbali ila siyo sahihi mkuu😀😀TTCL inaanzaje kuhangaika na kusimika nguzo mitaani kwa ajili ya fiber, wakati moja ya sababu waliyoiona kuwa ndio chanzo cha wao kutoweza kuwafikia watu ilikuwa ni kutokana na kutegemea miundombinu yao ambayo haijawa supplied sehemu nyingi?
Wanaanzaje kuhangaika kusimika nguzo mpya wakati wana access ya kutumia nguzo za TANESCO walizoingia nao makubaliano mwaka juzi?
Nimepata mashaka.....Hao watakuwa kuna demu wanamvizia mtaa huo so wamekosa timing nzuri ya kuzugia wameamua kujifanya wanachimba nguzo ku buy time.
Napo itakuwa sio kwasababu ya wananchi.Umewaza mbali ila siyo sahihi mkuu😀😀
Nguzo imebidi waweke chache kwa sababu mahali wanakotaka fiber yao ilipoishia mpaka kufika kwenye nguzo za umeme kuna kipori kirefu, hivyo hawana budi kuweka nguzo kadhaa..
Fiber yao waliipelekea taasisi flani iko nje ya mji huku, hivyo naona wameamua wawabless na majirani kwa kuwapelekea huduma...
Ngoja tuone itaishia wapi.... Kesho nikiwaona nitalonga nao pia niwadodose motive yao hasa ni nini...Napo itakuwa sio kwasababu ya wananchi.
Kuna kiongozi hapo atakuwa ameamia mitaa hiyo
Hivi mkuu fiber si huwa inachimbiwa chini?Nguzo ni za nini sasa?Asubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...
Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002
View attachment 2807003
View attachment 2807007
Hawa jamaa wanaharibu sana Mazingira na Fiber, huko mbeleni sijui itakuwaje, Kampuni kubwa kubwa kama Voda wanachimba Chini, TTCL pia baadhi ya Maeneo. Ila hivi vikampuni vidogo vina angalia tu short term profit.Hivi mkuu fiber si huwa inachimbiwa chini?Nguzo ni za nini sasa?
Nimeona AIRTEL nao kuna beacon zao UDSM watakuwa na wao wamechimbia.Hawa jamaa wanaharibu sana Mazingira na Fiber, huko mbeleni sijui itakuwaje, Kampuni kubwa kubwa kama Voda wanachimba Chini, TTCL pia baadhi ya Maeneo. Ila hivi vikampuni vidogo vina angalia tu short term profit.
Hivi humu kuna mtu kaconnect fiber na nyaya imepita kwenye nguzo ya tanescoTTCL inaanzaje kuhangaika na kusimika nguzo mitaani kwa ajili ya fiber, wakati moja ya sababu waliyoiona kuwa ndio chanzo cha wao kutoweza kuwafikia watu ilikuwa ni kutokana na kutegemea miundombinu yao ambayo haijawa supplied sehemu nyingi?
Wanaanzaje kuhangaika kusimika nguzo mpya wakati wana access ya kutumia nguzo za TANESCO walizoingia nao makubaliano mwaka juzi?
Nimepata mashaka.....Hao watakuwa kuna demu wanamvizia mtaa huo so wamekosa timing nzuri ya kuzugia wameamua kujifanya wanachimba nguzo ku buy time.