Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii sijawahi kuitumia aisee, unaweza ukapima speedtest South Africa?

Kama hio ping inasomaje?
Mkuu nimetest tayari.... Results hizo hapo
Screenshot_20231106_153839_Chrome.jpg

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Asubuhi hii ttcl nimewapita wanachimbia nguzo za fiber sio mbali sana na ninapokaa...

Sijafanikiwa kuongea nao chochote maana nilikuwa kwenye bodaboda...
View attachment 2807002

View attachment 2807003

View attachment 2807007
TTCL inaanzaje kuhangaika na kusimika nguzo mitaani kwa ajili ya fiber, wakati moja ya sababu waliyoiona kuwa ndio chanzo cha wao kutoweza kuwafikia watu ilikuwa ni kutokana na kutegemea miundombinu yao ambayo haijawa supplied sehemu nyingi?

Wanaanzaje kuhangaika kusimika nguzo mpya wakati wana access ya kutumia nguzo za TANESCO walizoingia nao makubaliano mwaka juzi?

Nimepata mashaka.....Hao watakuwa kuna demu wanamvizia mtaa huo so wamekosa timing nzuri ya kuzugia wameamua kujifanya wanachimba nguzo ku buy time.
 
Umewaza mbali ila siyo sahihi mkuu😀😀

Nguzo imebidi waweke chache kwa sababu mahali wanakotaka fiber yao ilipoishia mpaka kufika kwenye nguzo za umeme kuna kipori kirefu, hivyo hawana budi kuweka nguzo kadhaa..

Fiber yao waliipelekea taasisi flani iko nje ya mji huku, hivyo naona wameamua wawabless na majirani kwa kuwapelekea huduma...
 
Napo itakuwa sio kwasababu ya wananchi.

Kuna kiongozi hapo atakuwa ameamia mitaa hiyo
 
Ngoja tuone itaishia wapi.... Kesho nikiwaona nitalonga nao pia niwadodose motive yao hasa ni nini...
 
Hata hivyo kwa sie ambao bado tumepanga hatujajenga, router inaendelea kuwa chaguo namba 1 sababu ya kuweza ku move nayo popote unapoenda✅
 
TTCL inaanzaje kuhangaika na kusimika nguzo mitaani kwa ajili ya fiber, wakati moja ya sababu waliyoiona kuwa ndio chanzo cha wao kutoweza kuwafikia watu ilikuwa ni kutokana na kutegemea miundombinu yao ambayo haijawa supplied sehemu nyingi?

Wanaanzaje kuhangaika kusimika nguzo mpya wakati wana access ya kutumia nguzo za TANESCO walizoingia nao makubaliano mwaka juzi?

Nimepata mashaka.....Hao watakuwa kuna demu wanamvizia mtaa huo so wamekosa timing nzuri ya kuzugia wameamua kujifanya wanachimba nguzo ku buy time.
Hivi humu kuna mtu kaconnect fiber na nyaya imepita kwenye nguzo ya tanesco

Mlofunga fiber tayari toeni maoni yenu
 
Back
Top Bottom