Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwenye apps list hakuna WhatsApp messenger mkuu nimekagua vema.

Hiyo Adb ni app kwa maana nai download ama ni nini?
 
Hawa Airtel mbona miyeyusho, zingatia hivyo viduara viwili walidai watanipa 1GB ifikapo tarehe 14 ila kama nitanunia kifurushi cha internet cha 1000 haya nikanunua Tarehe 13 kuamkia 14 kikaisha nikanunia tena cha 1000 siku yenyewe ambayo ni Tarehe 14 Lakini offer sikuiona wanatuma Jumbe mpaka Tarehe 21 ndio offer itaanza imekuwa kama mchezo toka kipindi cha nyuma wanarusha siku hii imekaaJe kwenu kupitia ile menu ya *148*91# .
 
Uliungwa na huduma gani? Au hiyo unayozungumzia ni just random offer, kama ndiyo, basi achana na hizo mbambamba..
 
0689797061

Namba zake hizo hapo

Naomba tuwe waaminifu maana jamaa ni mwaminifu sana anaweza kukuunga kwanza kisha ndo unampoza 10k

Haitaji chochote zaidi ya namba ya simu akishakuunga unamtumia 10k
tutaleta mrejesho mkuu
 
Ni SME?
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…