Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Folder utakalofuta kawaida haitasaidia.

Nenda setting kisha apps angalia kwenye list ya app hakuna WhatsApp?

Alternative ni kutumia Adb, Adb inaweza ku Un install apps ambazo njia ya kawaida huwezi, download minimal adb and fast boot kisha fuata haya maelekezo

Ukisha list app zote hakiki kama Com.whatsapp ipo kama ipo itoe,

Sema fanya backup kabla huja cheza na hizo adb, ukitoa kitu usichojua, inaweza ku corrupt simu hadi format.
Kwenye apps list hakuna WhatsApp messenger mkuu nimekagua vema.

Hiyo Adb ni app kwa maana nai download ama ni nini?
 
Hawa Airtel mbona miyeyusho, zingatia hivyo viduara viwili walidai watanipa 1GB ifikapo tarehe 14 ila kama nitanunia kifurushi cha internet cha 1000 haya nikanunua Tarehe 13 kuamkia 14 kikaisha nikanunia tena cha 1000 siku yenyewe ambayo ni Tarehe 14 Lakini offer sikuiona wanatuma Jumbe mpaka Tarehe 21 ndio offer itaanza imekuwa kama mchezo toka kipindi cha nyuma wanarusha siku hii imekaaJe kwenu kupitia ile menu ya *148*91# .
Screenshot_20231117-003020.jpg
 
Hawa Airtel mbona miyeyusho, zingatia hivyo viduara viwili walidai watanipa 1GB ifikapo tarehe 14 ila kama nitanunia kifurushi cha internet cha 1000 haya nikanunua Tarehe 13 kuamkia 14 kikaisha nikanunia tena cha 1000 siku yenyewe ambayo ni Tarehe 14 Lakini offer sikuiona wanatuma Jumbe mpaka Tarehe 21 ndio offer itaanza imekuwa kama mchezo toka kipindi cha nyuma wanarusha siku hii imekaaJe kwenu kupitia ile menu ya *148*91# .View attachment 2816034
Uliungwa na huduma gani? Au hiyo unayozungumzia ni just random offer, kama ndiyo, basi achana na hizo mbambamba..
 
Ni SME?
Hawa Airtel mbona miyeyusho, zingatia hivyo viduara viwili walidai watanipa 1GB ifikapo tarehe 14 ila kama nitanunia kifurushi cha internet cha 1000 haya nikanunua Tarehe 13 kuamkia 14 kikaisha nikanunia tena cha 1000 siku yenyewe ambayo ni Tarehe 14 Lakini offer sikuiona wanatuma Jumbe mpaka Tarehe 21 ndio offer itaanza imekuwa kama mchezo toka kipindi cha nyuma wanarusha siku hii imekaaJe kwenu kupitia ile menu ya *148*91# .View attachment 2816034
I
 
Back
Top Bottom