Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwenye apps list hakuna WhatsApp messenger mkuu nimekagua vema.Folder utakalofuta kawaida haitasaidia.
Nenda setting kisha apps angalia kwenye list ya app hakuna WhatsApp?
Alternative ni kutumia Adb, Adb inaweza ku Un install apps ambazo njia ya kawaida huwezi, download minimal adb and fast boot kisha fuata haya maelekezo
![]()
How to uninstall carrier/OEM bloatware without root access
If you want to get rid of carrier/OEM apps from your phone, here's how you can uninstall bloatware from your device without root access!www.xda-developers.com
Ukisha list app zote hakiki kama Com.whatsapp ipo kama ipo itoe,
Sema fanya backup kabla huja cheza na hizo adb, ukitoa kitu usichojua, inaweza ku corrupt simu hadi format.
Hiyo Adb ni app kwa maana nai download ama ni nini?