Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nimeenda ofisini kwao wanataka Ununue router laki 6 kupata hivyo vifurushi. Umehakiki ukiunga kawaida inakubali?
Chief out of mada kidogo

Sehem nilipo Kuna shida ya Umeme

It means nipo na wapangaji wenzangu so kwenye suala la Umeme kidogo imekua changamoto

Kuna vimita nimeviona sehem ni kama zile sub meter zile zinazo usika na kuesabia uniti ulizo tumia ila hii inakua tofaut kidogo yenyewe inahesabu na unaweza weka Umeme wako mwenyew

Nimejalibu kuulizia TANESCO wamesema vile Kuna baadhi ya company ndio wanafanya installation ya vile
Kuna YOYOTE anaweza kuwa anauelewa navyo Nataka niweke mitta yangu mwenyew TANESCO wanaitaji mkwaja mrefu ila kupitia Ivo vimita naweza kupata kwa bei rahisi kidogo
 
Ninatumia supakasi ya voda sasa nina mda kidogo sijailipia, hapa nafanyaje kujua deni langu? Na utaratibu wa malipo ni upi
Hii ndio midosho ya kiwizi kutoka Voda ambayo bado mi siielewi.

Kama umekaa muda mrefu bila kulipia utakutana na bill yenye thamani ya bei ya kiwanja.

Ukiweza piga chini Voda hamia Airtel huku hakuna mambo hayo
 
Nimeona kwenye twitter
Wasnge wangekufa njaa walikuwa wanajidai wana mikazo haya sasa kiko wapi?

Airtel ndio amekuja kufanya mageuzi kila mtu anayekuja saizi na unlimited plan lazima average iwe 70K

Voda wao Mbps 20 wanaiuza kwa 110K na tigo wanauza 100K halafu mbaya zaidi Voda hawana package ya 70K

Voda nawapa miezi kadhaa lazima waanze kukaa nyuma ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…