Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #8,361
Ngoja nifuatilie, kama inashika 4G pia na hawalimit router sio mbaya.Piga *147*00# chagua number 8 kisha chagua 1 5g package kuna ya 70 k kuna ya laki 1 k kuna ya laki 2
70 k speed Mps 10
Laki moja k ni Mps 20
Laki mbili ni Mps 100