Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Shukrani sana chief
 
Uliunga kile cha 70000 je speed yake inafaa kustream online tv huku umeshare na wenzio?? Nataka niwakimbie hawa fiber router yao imeharibika wananizingua kuniletea nyingine
Hapana ni kifurushi cha 110K

Kifurushi cha 70K bado hakionekani kwa sisi tuliotumia Leseni na Tin

Kuna mdau humu alisema ameongea na customer care wakamuambia kifurushi cha 70K kitakuwa activated baada ya miezi mitatu ya kulipia.

Lakini miezi mitatu mi nimeimaliza na sijaona labda kama hawahesabii ule mwezi wa kwanza unapounganishwa.
 
Samahani mkuu naomba mtu anayeuza hizi device akaniletea leo ...dada niliyemuagiza naona analeta longo longo.
 
Mkuu kwa fiber speed ni nzuri zaidi kuliko mitandao ya simu?
Reliability ni kubwa mkuu, mfano Zuku 70,000 unapata 10mbps ila Wana offer ukiwa unalipa kwa wakati wanakupa 20mbps, hii ina maanisha capacity yao ni kubwa, haijajaa so wanatoa tu offer za speed.

Waya wa Fiber mmoja unapitisha hadi 10gbps ina maana kuhudumia vifurushi vya 10 ama 20mbps hata muwe 100 mtaa mmoja sio issue kwao.

mTandao wa simu kwa tech za 2G, 3G na 4G Haina capacity ndio maana unaona hakuna vifurushi vya unlimited na ikiwepo unlimited basi speed ni ndogo mfano Halotel royal bundles zamani ama Voda Kasi.

Ila 5G ina capacity ndio maana Kila mTandao wa simu unapotoa 5G wanatoa na vifurushi vya Unlimited, Sasa hivi vifurushi vinafanya kazi 5G na 4G, Incase eneo lako halina 5G Kuna uwezekano usipate speed uliolipia.
 
Nimeenda ofisini kwao wanataka Ununue router laki 6 kupata hivyo vifurushi. Umehakiki ukiunga kawaida inakubali?
mimi nilienda mlimani wakanambia router laki sita alafu mwezi wa kwanza utapewa unlimited bandwidth then next month utachagua package... kwa upande wangu ela ilikua kubwa sana nikasogea mlango wa mbele nimechukua airtel kwa 270k... Kwa mahitaji yangu naona airtel wako vizuri.
 

Attachments

  • Screenshot_20231204_194755_Chrome.jpg
    282.2 KB · Views: 9
75ms south inajitahidi.

Airtel ulikua mTandao wa Hovyo ila hii comeback yao ya 5G, SME na Unlimited package wamewapiga bao Voda na Tigo.

Acha Tigo wasubirie hao wateja wao wa laki 6 tuone.
 
75ms south inajitahidi.

Airtel ulikua mTandao wa Hovyo ila hii comeback yao ya 5G, SME na Unlimited package wamewapiga bao Voda na Tigo.

Acha Tigo wasubirie hao wateja wao wa laki 6 tuone.
Tigo bado sjaelewa wametarget kina nani kwenye hiyo huduma yao, haiwezekani uwe wa mwisho kuleta product ile ile alafu uwe na masharti magumu
 
Tigo bado sjaelewa wametarget kina nani kwenye hiyo huduma yao, haiwezekani uwe wa mwisho kuleta product ile ile alafu uwe na masharti magumu
Afadhali hata Voda wanatarget wa fanya biashara masharti magumu (uwe na leseni na Tin) ila installation bure. Maybe kuna mtu katoa maamuzi kwa kukurupuka, baadae akili itawakaa sawa watabadili hayo maamuzi.
.
5G zote Tanzania kwa uelewa wangu zinatumia Band moja, so Hakuna advantage yoyote ya maana baina ya mtandao mmoja na mwengine unachagua tu yenye bando la bei rahisi.
 
Watajitafakari tu
 
75ms south inajitahidi.

Airtel ulikua mTandao wa Hovyo ila hii comeback yao ya 5G, SME na Unlimited package wamewapiga bao Voda na Tigo.

Acha Tigo wasubirie hao wateja wao wa laki 6 tuone.

Kununua Router za Tigo na Voda 600k hadi 850k sio tatizo.
Tatizo ni huduma ikianza kuwa mbovu unataka kuhama mtandao, ile lock ya mtandao mmoja ndio changamoto. Maana baada ya kuhama inakuwa haina utofauti ni vile virouter vya 50k kwa machinga
 
nilienda airtel shop kuna dada nilimuliza siku nalipia nikamwambia mbona wengine cha 70k hakipo.. alinijibu walioungwa na agent wanaungwa na kuwa activated tofauti ko cha chini kwao sio 70k
 
Kununua Router za Tigo na Voda 600k hadi 850k sio tatizo.
Tatizo ni huduma ikianza kuwa mbovu unataka kuhama mtandao, ile lock ya mtandao mmoja ndio changamoto. Maana baada ya kuhama inakuwa haina utofauti ni vile virouter vya

Samahani mkuu naomba mtu anayeuza hizi device akaniletea leo ...dada niliyemuagiza naona analeta longo longo.
nenda airtel shop ili usipate changamoto ya ile menu ya 70k kutonekana kama unataka ulipie mbps 10.. airtel pale unatumia dakika kumi tu na mlimani wanafunga saa mbili usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…