Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

nilienda airtel shop kuna dada nilimuliza siku nalipia nikamwambia mbona wengine cha 70k hakipo.. alinijibu walioungwa na agent wanaungwa na kuwa activated tofauti ko cha chini kwao sio 70k
Huyo dada alikuambia kifurushi cha chini sio 70K labda kama wao wamejidhatiti kuunganisha wateja wa enterprises pekee

Lakini packages za 70K kwa waliolipia 270K ya connection fee kipo
 
Kukiwa na competition siku zote mshindi ni mteja.

Kwa capacity ya 5G sitashangaa mbeleni zikashuka hadi 50,000 hizi Unlimited.
Sema Voda walitakiwa waje nahii strategy toka mwanzo ili waliteke soko.. Ila walikuja kwa bei za juu. Leo amepatikana mpinzani ndio wanakumbuka strategy kama hizi.
Acha Airtel asepe na kijiji, kwanza router zao zina power bank hii nimoja ya advantage kwa mazingira yetu ya bongo na umeme wetu huu.
 
Voda nao Router zao zina power bank ila sijajua zinadumu kwa muda gani

Router ya Airtel power bank yao inakaa masaa kumi

Hii ni experience yangu niliijaribu mwenyewe
 
Voda wana Target wafanyabiashara, bei ni hio hio toka zamani, sema tu uwe na Tin na leseni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…