Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Shukrani sana...

Imeshakubali..
Tuenjoy hapa nmeshusha movies za kutosha ambazo nlkua nazikosa huko Torrents zingine au nlkua nakuta hazina seeders wa kuridhisha... Hapo sasa kama unatumia simu install na hii app kama unataka kudownload kwa kasi nzuri kuna settings zingine humo nyingi utundu wako wa kuchonoa utakusaidia kuboost hata speed ya kudownload torrents kwenye app.


Screenshot_20231210-181020.jpg
Screenshot_20231210-181535.jpg
Screenshot_20231210-181502.jpg
 
Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]View attachment 2838418
Mkuu mbps 30 kwa 4g unalipia kifurushi cha shilingi ngapi?
 
Wabongo hamjui kula na vipofu na hakika haifiki xmass hii vpn itakuwa haifanyi kazi...y lakini mnashindwa kula kimya kimya yaan ume expose mpaka mtandao na vpn yakee mweeeh
Hata nikificha haitosaidia kitu kwasababu Watu wa Facebook walishairipoti Directly kwa Mtandao husika. Nachofanya ni kuwapa tu watu fursa ya kuchukua vyao Mapema bila kikomo kwa bei ya Kimwananchi.
 
Boss nimefanikiwa nimetumia kwenye simu then nikascanbarcode kwenye android tv now naenjoyView attachment 2839079
Hapa mambo ya king'amuzi unasahau kabisa...

Taarifa ya habari unaingia youtube live ya itv...

Mpira unaingia yalla shoot au unadownlaod yacine tv unaendelea kustream kwa hd kabisa✅

Kimsingi dunia ya ving'amuzi inakaribia kufika kikoma...
 
Back
Top Bottom