Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama internet ipo vyema na unlimited tumia stremio, inakula bando ila haina longo longo kama unajua kudeal na seeder.
Bro hii? Vipi inaruhusu downloads na je inapata updates za movies mpya kwa wakati?
Screenshot_20231210-130709.jpg
 
Bro hii? Vipi inaruhusu downloads na je inapata updates za movies mpya kwa wakati?
View attachment 2838538
Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.

Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.

Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
 
Shukrani ntakua na share na 1DM+ hii kiboko sana kudownload files hadi za torrents ni kama IDM ya PC tu..
 
Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.

Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.

Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Install Add-ons hicho kipengele hapo nafeli nikienda kule nakuta add-ons nyingi sizielewi au ipi ina support kustream au kudownload afu Torrento haipo.
Screenshot_20231210-133005.jpg
 
Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.

Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.

Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Aiseee shukrani sana nmefanikiwa kuinstall Add-on ya torrentio kwa njia tofauti na inafunction...
Screenshot_20231210-135109.jpg
 
Install Add-ons hicho kipengele hapo nafeli nikienda kule nakuta add-ons nyingi sizielewi au ipi ina support kustream au kudownload afu Torrento haipo. View attachment 2838555
Nimejaribu kulogin kama anonymous sijaziona torrentio ila nimelogin na account yangu nimeiona,

1. Jaribu kutengeneza account search Tena.

2. Tumia account Yako na stremio ya PC download add-ons zako automatic zita appear kwenye simu

Screenshot_20231210-135302_Stremio.png
 
Nimejaribu kulogin kama anonymous sijaziona torrentio ila nimelogin na account yangu nimeiona,

1. Jaribu kutengeneza account search Tena.

2. Tumia account Yako na stremio ya PC download add-ons zako automatic zita appear kwenye simu

View attachment 2838560
Nmetengeneza account kabisa kwa gmail ila haikuja.. by the way nmefanikisha mpaka sasa. Ahsante.

Screenshot_20231210-135823.jpg
Screenshot_20231210-135900.jpg
 
Mkuu samahani unaweza elekeza jinsi ya kudeal nayo hii stremio kama hutojali?
Stremio ni app ya kuangalizia movies, ili kubypass Sheria za Google/Apple na makampuni mengine wanaweka tu app yao ambayo Haina kitu store halafu wewe unaweka mwenyewe add-ons.

So step ya kwanza unadownload hio app ya stremio play store. Inaweza kuwa simu ama hata tv.

Step ya pili tengeneza account ili usipoteze data zako na kuanza upya baadae.

Step ya tatu nenda kwenye add-ons tab download add-ons unazotaka maarufu ni hio torrentio.

Ukishaweka add-ons search movie ama series itakuja, then italist uploader kibao kama yify, galaxy torrent na wengineo we chagua ambayo internet speed Yako inamudu, mfano nikiwa natumia slow internet kama ttcl copper nachagua movie zile za mb Chini ya 700 ila kama una fiber Mbps 10 ama zaidi unachagua full HD zaidi ya 1GB kama una zaidi ya 20mbps hata 4K unaangalia.

Cha muhimu chagua video yenye seeder wengi most of time inakua ya kwanza kwenye quality husika.

Ukianza kuitumia utaielewa taratibu.
 
Shukrani chief
 
Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]View attachment 2838418
Kimsingi router zao ziko njema kinoma.... Wengi wetu tuko maeneo yenye 4G ila speed haipungui utadhani ni dedicated...

Kwangu sometimes mnara unasoma red au unakuwa haupo kabisa lkn speed iko palepale..
 
Back
Top Bottom