Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Airtel leo kuna changamoto ya mtandao
Itakuwa ni location uliyopo mkuu, nilipo mimi mambo shega✅

Screenshot_2023-12-08-12-13-31-849_org.zwanoo.android.speedtest-edit.jpg
 
Sjawahi kutana na netflix mod inayokaribia uwezo na ubora wa netflix halisi, hiyo yako inafika uwezonwa halisi?
Labda kwenye ishu ya ku download tu ndio unaweza kukutana na usumbufu lakini streaming ni msololo tu

Nilikuwa na mod moja ambayo nilikuwa na download fresh tu saizi nishasahau wapi nilipoipatia
 
Back
Top Bottom