Si tunawahama? Kwani shida iko wapi?Yaani wamecheza kama pele...ila naomba wasije lewa sifa tu mambo yakabadilika
Tuenjoy hapa nmeshusha movies za kutosha ambazo nlkua nazikosa huko Torrents zingine au nlkua nakuta hazina seeders wa kuridhisha... Hapo sasa kama unatumia simu install na hii app kama unataka kudownload kwa kasi nzuri kuna settings zingine humo nyingi utundu wako wa kuchonoa utakusaidia kuboost hata speed ya kudownload torrents kwenye app.Shukrani sana...
Imeshakubali..
Boss nimefanikiwa nimetumia kwenye simu then nikascanbarcode kwenye android tv now naenjoyPoa mkuu... Kama tayari umeshaweka hiyo app fanya kwenda kwa browser copy na paste search [emoji361] hii link chini
Click hapo Install Add-on itakua installed huko kwa Stremio. View attachment 2838825
Proton VPN inatumika Kwa mtandao gani? Sorry mkuuAirtel leo kuna changamoto ya mtandao
Nahitaji hii
Kama Tangazo linavyosema. VPN internet. Unapata access ya internet kwa kutumia App ya VPN.Ipoje hii
Hii ninayokitambo ni nzurii piaKuna App ya OnStream pia kwaajili ya Android Phones na Android TVs. Haina mambo mengi, ni ku-install na kuanza kuitumia.
Iko poa pia nmeitumia hadi ku download iko vizuri ani.Kuna App ya OnStream pia kwaajili ya Android Phones na Android TVs. Haina mambo mengi, ni ku-install na kuanza kuitumia.
Wabongo hamjui kula na vipofu na hakika haifiki xmass hii vpn itakuwa haifanyi kazi...y lakini mnashindwa kula kimya kimya yaan ume expose mpaka mtandao na vpn yakee mweeeh
Mkuu mbps 30 kwa 4g unalipia kifurushi cha shilingi ngapi?Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]View attachment 2838418
Hata nikificha haitosaidia kitu kwasababu Watu wa Facebook walishairipoti Directly kwa Mtandao husika. Nachofanya ni kuwapa tu watu fursa ya kuchukua vyao Mapema bila kikomo kwa bei ya Kimwananchi.Wabongo hamjui kula na vipofu na hakika haifiki xmass hii vpn itakuwa haifanyi kazi...y lakini mnashindwa kula kimya kimya yaan ume expose mpaka mtandao na vpn yakee mweeeh
Hii app unakula movies free?Boss nimefanikiwa nimetumia kwenye simu then nikascanbarcode kwenye android tv now naenjoyView attachment 2839079
Anakupiga huyo 🤣 download haatunnel file nenda telegram kwenye channel ya haatunnel ukachukie mwenyewe kuwa makini kwanza soon itafungiwa hiyo washaanza kuziba loophole 🤣😁😁Nahitaji hii
Kazingua sana afu eti anataka kuwapiga watu hapa buku 5 😂🤣😁Wabongo hamjui kula na vipofu na hakika haifiki xmass hii vpn itakuwa haifanyi kazi...y lakini mnashindwa kula kimya kimya yaan ume expose mpaka mtandao na vpn yakee mweeeh
Hapa mambo ya king'amuzi unasahau kabisa...Boss nimefanikiwa nimetumia kwenye simu then nikascanbarcode kwenye android tv now naenjoyView attachment 2839079
Ndo uwauzie sasa wakati yapo free kwenye telegram ya haatunnel 🤣😁Hata nikificha haitosaidia kitu kwasababu Watu wa Facebook walishairipoti Directly kwa Mtandao husika. Nachofanya ni kuwapa tu watu fursa ya kuchukua vyao Mapema bila kikomo kwa bei ya Kimwananchi.
Naunga mkono hojaHapa mambo ya king'amuzi unasahau kabisa...
Taarifa ya habari unaingia youtube live ya itv...
Mpira unaingia yalla shoot au unadownlaod yacine tv unaendelea kustream kwa hd kabisa✅
Kimsingi dunia ya ving'amuzi inakaribia kufika kikoma...